Ukitaka kucheza mchezo wa shadow war,inabidi ujipange,usiende na "TISS" yako isiyoweza kulenga shabaa(Lisu akapona)au isiyoweza kufanya mateso(Dr Ulimboka akapona),
Inabidi kwenye system yako,uwe na kitu kinachoshabihana na CIA,secret service,Navy seal,au kile kikosi maalum cha polisi,tulizoea kuwaita "TZR"
Na USA,au Israel huwa hawasahau,watakuwinda kwa Drone,sumu,au hata mapinduzi,
Kwa hapa bongo,inabidi tuwe na ile TISS ya mwalimu,ambayo richa ya kwamba miaka hiyo,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,lakini impact ya operations zao,ilisikika,mpaka kwa watoto wadogo,kuanzia,Africa kaskazini mpaka kusini mwa Africa,tulipiga covert operations za kutisha,
Sent using
Jamii Forums mobile app