Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
Asante mkuu ila nimemkwaza sana jamaa nasikitikaUliuliza swali zuri sana.
Asante mkuu ila nimemkwaza sana jamaa nasikitikaUliuliza swali zuri sana.
You got it right mazeeSamahani sijakuelewa, una maana hata kama Mimi ni jiwe kuna miamba ya kunizidi, ufafanuzi tafadhari
Mkuu, ni namna tu ya uwasilishaji, si lazima kukariri siku mwaka muongo n. KSasa tukiwa la tano tulifundishwa kwamba.
Saa 24 ni siku moja.
Siku 7 ni juma moja.
Majuma 4 ni mwezi mmoja.
Miezi 12 ni mwaka 1.
Miaka 10 ni muongo mmoja.
Miongo 10 ni karne 1.
Umesema hapo kua saa 24 zisipopita mtu anaweza kuandika baada ya saa chache. Haya Chavez anaenda kuhutubia saa 24 zishapita na ndiyo maana akasema "... alikuepo hapa jana..." hakusema "... alikuepo hapa saa chache..."
Chief mi hapa sishindani kua na hoja au kutokua na hoja. Nimeandika kitu ambacho kipo. Sijijui anataka tubishane. Am out
Sidhani kama kakwazika. Mtu mzima akielewa habishani. Si lazima aseme umeshinda maana hamkuwa mnashindana nani yupo sahihi.Asante mkuu ila nimemkwaza sana jamaa nasikitika
Mtu duni ni wewe unayetishwa na dunia...ulishapata kibarua?
Kuna Kagame pia,, and gase who is next???Kim atarudi akiwa salama
Tumhitaji sana Kim
Kibarua cha kwenda wapi?Mtu duni ni wewe unayetishwa na dunia...ulishapata kibarua?
Ok poa. Now piga hesabu kuanzia 2006 mpaka 2011 ni siku ngapi kisha mpe mleta uzi aandike baada ya siku chache (n) Chavez akaumwa.Mkuu, ni namna tu ya uwasilishaji, si lazima kukariri siku mwaka muongo n. K
Kuna kampuni inalipa kwa masaa na si kwa siku. Utasikia wafanyakazi wakiteta, amelipwa masaa machache kweli. Masaa 350 tu. Wakati mm nimelipwa masaa 470. Na malipo yalitoka masaa 33 baada ya kumaliza kazi.
Mpuuze huyo Bia yetu hana analo lijua Duniani zaidi ya kujua kusoma na kuandika. Ameajiriwa na mwanasiasa na akili yake yote ameiacha kwake.Wewe sijui ulizaliwa na wazazi wa aina gani, you need Kim for what?
Sent using Jamii Forums mobile app
japo msg umeielewa?TumainE njoo huku umeumbuka uongo wako.
Vile vile huyo Wakala wa Mabeberu alitaka Chaves aishi mpaka lini!?Fact checking.
Bush alihutubia 19 September 2006. Chavez alihutubia 20 September 2006.
Uzi unasema saa chache.
Chavez alisema "Nahisi harufu ya shetani, alikuepo hapa jana na mpaka leo pananuka salfa"
Uzi unasema Chavez alimwita Bush mbwa.
Chavez kuumwa kwake kulikuja kujulikana na dunia 2011.
Uzi unasema siku chache.
Sasa kama taarifa public kama hii imepindishwa hizo nyingine za Kim itakuaje?
Mkuu regime zipo kwa ajiri ya watu,zinatumikia watu na ziko funded na hao watu.Kama regime inaacha majukumu yake ya msingi na kuanza kuua watu kwa kisingizio cha kukosolewa,kupingwa etc.hiyo regime acha ipigwe tu na iondolewe.regime zipo kwa ajiri ya kutumikia watu na si kutumikiwa"binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa tabu." Ayubu 14:1
Shule walizopita waafrica wengi au watanzania wengi zinafuata michepuo/curriculum za magharibi na bila shaka zinapandikiza 'Uoga' na kukariri ujinga kama sio ufala.
Watu wanapofurahia Kim kufa eti ya kua ni dikteta wanashangaza sana, ni lini Kim alipeleka jeshi kwenye nchi nyingine kufanya operesheni ya kijeshi? Ni lini Kim alifanya 'regime change' kwenye nchi nyingine? Mbona wanaofanya hivyo wanaitwa wanademokrasia? Nini maana ya demokrasi? Hao wanademokrasia hawafi? Churchill yupo hai? Acheni upuuzi!! Kule USA blacks wanapigwa risasi za Moto na kuuliwa na Askari kila leo, raisi amewahi kuondelewa madarakani? Kila nchi ina utaratibu wake wa kuendesha mambo.
Dunia hii ni lazima wawepo wababe wachache watakaopingana wenyewe kwa wenyewe ili kuleta 'balance' ya dunia. Atakufa Kim atazaliwa mtu mwingine. Kwani mmesahau kua alikuepo Hittler? Acheni kuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya mada huitaji kuwa accurate kwa baadhi ya dondoo ambazo hazibadilishi dhima ya mada nzima.tuliomuelewa tumemuelewa,ujumbe umefika.So mfanyakazi wako ukimwambia kampuni itakulipa baada ya siku chache kisha ukamlipa baada ya miaka 4 akilalamika utamuambia "Saa chache huwa ni masaa mangapi? Na siku chache huwa ni siku ngapi? Just asking
Au siyo?
Fact checking.
Bush alihutubia 19 September 2006. Chavez alihutubia 20 September 2006.
Uzi unasema saa chache.
Chavez alisema "Nahisi harufu ya shetani, alikuepo hapa jana na mpaka leo pananuka salfa"
Uzi unasema Chavez alimwita Bush mbwa.
Chavez kuumwa kwake kulikuja kujulikana na dunia 2011.
Uzi unasema siku chache.
Sasa kama taarifa public kama hii imepindishwa hizo nyingine za Kim itakuaje?
Acha uongo na kutetea ushetani. Marekabi inafanya Regime change kwa watawala makatili wasiojali na kuheshimu wananchi waliowachagua. Marekani ndio mtetezi wa kweli wa Wanyonge dunia hii. No US no judtice in World"binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa tabu." Ayubu 14:1
Shule walizopita waafrica wengi au watanzania wengi zinafuata michepuo/curriculum za magharibi na bila shaka zinapandikiza 'Uoga' na kukariri ujinga kama sio ufala.
Watu wanapofurahia Kim kufa eti ya kua ni dikteta wanashangaza sana, ni lini Kim alipeleka jeshi kwenye nchi nyingine kufanya operesheni ya kijeshi? Ni lini Kim alifanya 'regime change' kwenye nchi nyingine? Mbona wanaofanya hivyo wanaitwa wanademokrasia? Nini maana ya demokrasi? Hao wanademokrasia hawafi? Churchill yupo hai? Acheni upuuzi!! Kule USA blacks wanapigwa risasi za Moto na kuuliwa na Askari kila leo, raisi amewahi kuondelewa madarakani? Kila nchi ina utaratibu wake wa kuendesha mambo.
Dunia hii ni lazima wawepo wababe wachache watakaopingana wenyewe kwa wenyewe ili kuleta 'balance' ya dunia. Atakufa Kim atazaliwa mtu mwingine. Kwani mmesahau kua alikuepo Hittler? Acheni kuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamiiforum si mahali salama pa kudanganya. Utashikwa tuh. Mtu mdomo ukimuwasha asilete uongo hapa bora aende kwenye kijiwe cha kahawa.Fact checking.