Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

Nimekupa mfano wa blacks wanavyopigwa risasi na kuuwawa huko marekani. Kwanini demokrasia yao haiwatetei hao wanyonge na viongozi kuwajibishwa? Kama kweli anatetea wanyonge... Kwanini hajaiadabisha Saud Arabia kwa kumuua kashogi? Kule iraki walikuta hizo silaha za nyukilia? Unataka uambiwe jinsi jeshi la marekani lilivyoua Syria? Unataka kujua Libya wapo kwenye hali gani baada ya regime change iliyokolezwa na USA?? Anyway bado mdogo huwez kunielewa

Acha uongo na kutetea ushetani. Marekabi inafanya Regime change kwa watawala makatili wasiojali na kuheshimu wananchi waliowachagua. Marekani ndio mtetezi wa kweli wa Wanyonge dunia hii. No US no judtice in World

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa mfano wa blacks wanavyopigwa risasi na kuuwawa huko marekani. Kwanini demokrasia yao haiwatetei hao wanyonge na viongozi kuwajibishwa? Kama kweli anatetea wanyonge... Kwanini hajaiadabisha Saud Arabia kwa kumuua kashogi? Kule iraki walikuta hizo silaha za nyukilia? Unataka uambiwe jinsi jeshi la marekani lilivyoua Syria? Unataka kujua Libya wapo kwenye hali gani baada ya regime change iliyokolezwa na USA?? Anyway bado mdogo huwez kunielewa



Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni stori za vijiweni na vya wafagilia madikiteta kama nyie. Dikiteta hafai hata kuishi duniani
 
Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri.

Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.

Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia?

Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi aliingia kijana mmoja anaitwa Chiluba, Rais ambaye inasemekana ndie Rais alikuwa kampokea Yesu. Rais yule akapokea nchi kutoka kwa baba wa taifa hilo kwa mbwembwe na kuanza kumnyanyasa yule Mzee mpaka kumtia ndani na Keneth akakubaliana na yote ila hayati baba wa Taifa alipopata ile habari alipanda ndege na kwenda Zambia nakumwambia Chiluba amtoe haraka sana while huku Tanzania via Benjamin akaweka mpango kutomshitaki Rais aliyekwisha toka madarakani.

Well, Chiluba kwa shingo upande akamtoa ndani japo Chiluba baada ya muda wake hakudumu sana akafariki nakumuacha Mzee Kaunda, akaja Mwanawasa same akipigana na vita naye akaanguka madarakani.

Jambo hili wengi likawashitua na kujiuliza why marais hawadumu basi ndipo wakamkumbuka muanzilishi wa Taifa na kumuenzi hali ikatulia.

Dunia ina siri sana ndugu yangu kaza Roho. Kule Venezuela akaibuka Rais wao ambaye alipokuwa akihutubia UN baada ya Bush kutoka hutubia aliyefuata alikuwa yeye..

Jambo la ajabu alilolifanya Hugo Shavez ni kuanza na maneno haya:

"Nasikia harufu ya mbwa maana dakika chache alikuwepo hapa" Siku chache baada ya maneno yale Hugo chaves hakuishi muda mrefu alipatwa na Cancer kali na mpaka anakufa alikuwa akisema USA ndio walio muua japo hakuna proof ya kifo chake. Ila moja ya maneno wanayapenda sana vikosi kazi vya USA ni "We do bad things to bad people"
Dunia ina siri sana.

Kim Jong-un, Rais katili na mwenye kulindwa hatari huenda akawekwa katika kumbukumbu za makaburi na wazaz wake. Amewatisha USA mpaka wakawa hawalali. Watu wenye akili wakasema isiwe shida na sasa wamefanikiwa kumtuliza kama walivyokusudia. Kim Jong-un amefanyiwa op ambayo haikuwenda vizuri hivyo huwenda asirudi tena au akirudi asiwe na uwezo tena alio nao sasa.

Hii ni dunia yenye siri kali nakuogopesha sana.
Mkuu umewaza nn hadi ukaja na huu uzi
 
Back
Top Bottom