TujuzeChacha wangwe ilikuwaje
TujuzeChacha wangwe ilikuwaje
Washageuzwa misukule na DJ hawajielewi kabisaChadema mnastress sana
Dawa yake ni hii tuuiWewe sijui ulizaliwa na wazazi wa aina gani, you need Kim for what?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa wale wapigao picha nyumba za ibada shida ya nn ili waonekane kwa watu chagua moja tu kumtumia shetani huwezi mkataa shetani kiroho huku ukimuabudu kimatendoHakuna watawala wachafu na wauaji wakubwa kama wale wanaojifanya kuwa na Yesu, ni Makurunziza wakubwa kwa ukatili,hawana huruma na wananchi wanao waongoza, wakotayari wananchi wauawe lakini wao waendelee kuwepo madarakani.
Ujumbe wa Yesu wa si kila asemaye Bwanabwana atauona ufalme wa mbinguni, unawahusu wao.
Saa chache inaweza kuwa baada ya masaa manne.Hii ni fasihi andishi
Sawa na wasafisha mikojo ambao akili zao zimefungwa kwenye box awataki kufikiri kuzidi mwenyekitiWashageuzwa misukule na DJ hawajielewi kabisa
Uwe mjanja kama ile ajali ya chacha wangweUkitaka kucheza mchezo wa shadow war,inabidi ujipange,usiende na "TISS" yako isiyoweza kulenga shabaa(Lisu akapona)au isiyoweza kufanya mateso(Dr Ulimboka akapona),
Inabidi kwenye system yako,uwe na kitu kinachoshabihana na CIA,secret service,Navy seal,au kile kikosi maalum cha polisi,tulizoea kuwaita "TZR"
Na USA,au Israel huwa hawasahau,watakuwinda kwa Drone,sumu,au hata mapinduzi,
Kwa hapa bongo,inabidi tuwe na ile TISS ya mwalimu,ambayo richa ya kwamba miaka hiyo,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,lakini impact ya operations zao,ilisikika,mpaka kwa watoto wadogo,kuanzia,Africa kaskazini mpaka kusini mwa Africa,tulipiga covert operations za kutisha,
Sent using Jamii Forums mobile app
Atarudi kutoka chattle??Kim atarudi akiwa salama
Tumhitaji sana Kim
Yaani imekuwa fujo mtindo mmoja matarumbeta ya DJ makengeza [emoji23][emoji1787][emoji2960]Sawa na wasafisha mikojo ambao akili zao zimefungwa kwenye box awataki kufikiri kuzidi mwenyekiti
Ufipa kwa DJ makengeza [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Sasa uyajue yote hayo usiyajue ya chacha kweli? Acha utani vp kuhusu zito kutaka uenyekiti bila kusahau sumae sumu haionjwi kwa mdomoTujuze
Mwambie aionje Sasa,mamluki hayana nafasi tulishang'atwa,vipi aliyemwekea sumu mzee ashapatikana?Sasa uyajue yote hayo usiyajue ya chacha kweli? Acha utani vp kuhusu zito kutaka uenyekiti bila kusahau sumae sumu haionjwi kwa mdomo
Mnamuogopa dj kuliko corona.Yule yupo mmemkuta mtamwacha yupo Sana.Yaani imekuwa fujo mtindo mmoja matarumbeta ya DJ makengeza [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Nilijua kaandika utopolo kama kawaida ya watu wa Facebook kujikuta wanajua kuchambua mambo kumbe wanakopi kwa wajinga.Fact checking.
Bush alihutubia 19 September 2006. Chavez alihutubia 20 September 2006.
Uzi unasema saa chache.
Chavez alisema "Nahisi harufu ya shetani, alikuepo hapa jana na mpaka leo pananuka salfa"
Uzi unasema Chavez alimwita Bush mbwa.
Chavez kuumwa kwake kulikuja kujulikana na dunia 2011.
Uzi unasema siku chache.
Sasa kama taarifa public kama hii imepindishwa hizo nyingine za Kim itakuaje?
Ndio ujue huyo DJ ni dikteta hataki chacha aliondoshwa kwa kutaka kugombea uenyekiti kumbe alikuwa hajui hii ni Sacco's ya DJ akafa zito ulivyo taka kugombea hakujua ni kosa kuwa hiyo Sacco's Ni ya DJ salama yake akafukuzwa sumae akataka kugombea uenyekiti hakujua hiyo ni Sacco's ya DJ hatakiwi mtu yeyote akalie kiti zaidi ya mwenye Sacco's yake akaambiwa sumu haionjwi gombea ufe au ondoka uponeMwambie aionje Sasa,mamluki hayana nafasi tulishang'atwa,vipi aliyemwekea sumu mzee ashapatikana?
Kweli tutamuuacha na uenyekiti wake wa Sacco's na jina lake litakumbukwa alikuwa KUB [emoji23][emoji1787][emoji2960]Mnamuogopa dj kuliko corona.Yule yupo mmemkuta mtamwacha yupo Sana.