Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

Nimekupa mfano wa blacks wanavyopigwa risasi na kuuwawa huko marekani. Kwanini demokrasia yao haiwatetei hao wanyonge na viongozi kuwajibishwa? Kama kweli anatetea wanyonge... Kwanini hajaiadabisha Saud Arabia kwa kumuua kashogi? Kule iraki walikuta hizo silaha za nyukilia? Unataka uambiwe jinsi jeshi la marekani lilivyoua Syria? Unataka kujua Libya wapo kwenye hali gani baada ya regime change iliyokolezwa na USA?? Anyway bado mdogo huwez kunielewa

Acha uongo na kutetea ushetani. Marekabi inafanya Regime change kwa watawala makatili wasiojali na kuheshimu wananchi waliowachagua. Marekani ndio mtetezi wa kweli wa Wanyonge dunia hii. No US no judtice in World

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni stori za vijiweni na vya wafagilia madikiteta kama nyie. Dikiteta hafai hata kuishi duniani
 
Mkuu umewaza nn hadi ukaja na huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…