Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Kabisa yaani life is so unfairLife isn't fair.
kwa wengine ni too much mkuu,sasa kama huyo jamaa mwenye huo mjengo, ana suffer nini labda afya kama ni mgogoro.That fellow just upgrade the inner battle, in short we all suffer
Du! labda kweli ila ngumu kumeza asee.Hamna jipya hapo.
Ukitaka kuamini ninachoandika hapa endelea kumfuatilia bado utaona anaendelea kutafuta fedha(maisha).
Hata hiyo hali yako ambayo unaichukia na kuona kama umelaaniwa kuna mtu anaitafuta.
Jitahidi uamini hilo.Du! labda kweli ila ngumu kumeza asee.
Acha kuongopea watu🤔🤔, hivi kutafuta fedha na maisha vinahusiana vipi😂😂Hamna jipya hapo.
Ukitaka kuamini ninachoandika hapa endelea kumfuatilia bado utaona anaendelea kutafuta fedha(maisha).
Hata hiyo hali yako ambayo unaichukia na kuona kama umelaaniwa kuna mtu anaitafuta.
Jitahidi uamini hilo.
Sisi tuliotoka chini kabisa, yaani kulalia mikeka mpaka sasa tuna nyumba, usafiri na mshahara wa kutosha ugali ndo tunajua
Hakuna jipya, hakuna kitu ambacho tajiri kamzidi maskini.
Utukufu wa Mungu ndani ya mtu ndio kipimo kizuri cha maendeleo
Hilo neno mara nyingi linatumiwa na makapukuTafuta pesa