Hii dunia wapo wanao ishi, wengine tunaishia tu

That fellow just upgrade the inner battle, in short we all suffer
kwa wengine ni too much mkuu,sasa kama huyo jamaa mwenye huo mjengo, ana suffer nini labda afya kama ni mgogoro.
 
Hamna jipya hapo.
Ukitaka kuamini ninachoandika hapa endelea kumfuatilia bado utaona anaendelea kutafuta fedha(maisha).
Hata hiyo hali yako ambayo unaichukia na kuona kama umelaaniwa kuna mtu anaitafuta.
 
Du! labda kweli ila ngumu kumeza asee.
 
Du! labda kweli ila ngumu kumeza asee.
Jitahidi uamini hilo.
Sisi tuliotoka chini kabisa, yaani kulalia mikeka mpaka sasa tuna nyumba, usafiri na mshahara wa kutosha ugali ndo tunajua
Hakuna jipya, hakuna kitu ambacho tajiri kamzidi maskini.
Utukufu wa Mungu ndani ya mtu ndio kipimo kizuri cha maendeleo
 
Hamna jipya hapo.
Ukitaka kuamini ninachoandika hapa endelea kumfuatilia bado utaona anaendelea kutafuta fedha(maisha).
Hata hiyo hali yako ambayo unaichukia na kuona kama umelaaniwa kuna mtu anaitafuta.
Acha kuongopea watu🤔🤔, hivi kutafuta fedha na maisha vinahusiana vipi😂😂
👉Kila mmoja maisha anayo, Ila tuna Tafuta hali za maisha tu.
👉Ukilielewa hilo, hautasumbuka Tena.
👉 Eti hakuna kitu tajiri, anacho mzidi masikini🤔🤔. Wee mpaka vitabu vya dini vimelaani umasikini🙉😂
 
Jitahidi uamini hilo.
Sisi tuliotoka chini kabisa, yaani kulalia mikeka mpaka sasa tuna nyumba, usafiri na mshahara wa kutosha ugali ndo tunajua
Hakuna jipya, hakuna kitu ambacho tajiri kamzidi maskini.
Utukufu wa Mungu ndani ya mtu ndio kipimo kizuri cha maendeleo

Tafuta pesa
 
Back
Top Bottom