Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini
Direct kwenye mada.
Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.
1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )
Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.
Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.
Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!
Niishie hapo!