Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Kivipi mkuu, unatesekaDaah.....role model wangu wa jf 😭
Erection tena??📌NO REFORM NO ERECTION!!!
#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI.
Ok...kwa hiyo ni kawaidaKila mtu ana kitu kinachomvutia, kwako wewe ni hilo la chupi..
Akili za vijana wa saivi....hata katiba ibadilishwe haitasaidia kitu kama watu wenyew ndio kama huyuKwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini
Direct kwenye mada.
Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.
1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )
Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.
Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.
Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!
Niishie hapo!
Kiongozi tatizo lako lina tiba, ikiwa chupi zinakuhamasisha sana kupata apetite na hali hiyo kukukera basi jaribu kunyandua wanawake wanaovaa boksa na vikaptula vya jinsi kama mbadala wa vyupi. AsanteKwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini
Direct kwenye mada.
Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.
1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )
Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.
Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.
Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!
Niishie hapo!
Kachupi keusi katamu sana. Leo nimekavaa na kitop cheusi, nikapita bahati mbaya kwenye kioo nikajiona bado bintiiiii
Ma role model wetu mnazingua sana 🤣🤣🤣
kwahio sahivi unamuona zwazwa tu ausioDaah.....role model wangu wa jf 😭
Kiongozi huu msiba tusizike tutapata laana 🤣Inasikitisha sana