Hii faulo ya Djuma Shabban ni Red Card (Lefa kapeta)

Hii faulo ya Djuma Shabban ni Red Card (Lefa kapeta)

Mkuu unapoteza muda wako tu,Wachezaji wa Yanga ni wachezaji wa Mdhamini wa ligi Hawaguswi hao.
 
Haya yanga wamepokonywa point
Mechi ni draw..
Simba na Yanga zimeshawafanya watu kuwa wajinga sana,Ile ni faulo ya kuhatarsha uhai wa mwenzake unaleta ushabiki kwenye uhai wa mtu.
 
Nikama lile tukio la Kenedy Juma alivyo mkita guu la mgongi mchezaji wa biashara alafu hakupewa kadi nyekundu Wala kuhukumiwa na kamati ya saa 72.
 
Beki ya Police alifanya nini!?. Djuma ameshindwa kucheza mpira kwa sababu ya uzee wake analeta michezo ya ngumi.
Una macho kweli wewe! Mchezaji wa Polisi alianza kwa kumkanyaga kwa makusudi Djuma Shaban akiwa hana mpira! Sasa nongwa iko wapi alipofunzwa adabu kwa kusukumwa na mkono?

Sasa kwa taarifa yako, kitendo kama kile ndiyo ningefanyiwa mimi, ningemvimbisha yule mchezaji wako uso 🤯 kwa mangumi 👊🤛🤜 mfululizo.
 
Simba na Yanga zimeshawafanya watu kuwa wajinga sana,Ile ni faulo ya kuhatarsha uhai wa mwenzake unaleta ushabiki kwenye uhai wa mtu.
Siyo wote mkuu. Ni baadhi tu ya Mashabiki wa michongo
 
Simba na Yanga zimeshawafanya watu kuwa wajinga sana,Ile ni faulo ya kuhatarsha uhai wa mwenzake unaleta ushabiki kwenye uhai wa mtu.
Ila kuna watu mna utani aisee! Yaani kusukumwa vile na mkono ndiyo kunahatarisha na uhai kabisa wa mtu! Basi kufa ni rahisi sana bila shaka! 🤔

Yaani mnataka kukuza kitu kidogo kionekane kikuuubwa!! Msisahau hata Dickson Job anaimudu ile nafasi kwa kiwango cha hali ya juu sana!

Hivyo hata ingetokea huyo Djuma Shaban akafungiwa kwa sababu ya hizi kelele zenu za chura humu jukwaani, bado kuna wachezaji zaidi ya wawili wa kiwango chake wa kucheza hiyo nafasi yake.
 
Una macho kweli wewe! Mchezaji wa Polisi alianza kwa kumkanyaga kwa makusudi Djuma Shaban akiwa hana mpira! Sasa nongwa iko wapi alipofunzwa adabu kwa kusukumwa na mkono?

Sasa kwa taarifa yako, kitendo kama kile ndiyo ningefanyiwa mimi, ningemvimbisha yule mchezaji wako uso 🤯 kwa mangumi 👊🤛🤜 mfululizo.
Sasa unajichukulie sheria mkononi. Huo uhuni wa kikongoman hauvumiliki. Hapa hatupo kivu kaskazini.
 
Endeleeni kupoteza muda wa kubishana wakati kila kitu kinajulikana kwamba mdhamini wa timu ndo huyohuyo mdhamini wa michongo wa tff.. tff hawezi kufanya lolote hapo.. chezea pesa weye??
 
Endeleeni kupoteza muda wa kubishana wakati kila kitu kinajulikana kwamba mdhamini wa timu ndo huyohuyo mdhamini wa michongo wa tff.. tff hawezi kufanya lolote hapo.. chezea pesa weye??
Jiesiemu wapo tayari kuua mtu.
 
View attachment 2092976

Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana.

Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
Kikubwa wamefungwa na walipoleta ujuaji wakala kipepsi cha usoni,....tuwaachie kamati ya nidhamu ifanye kazi yake na itakua nafasi nzuri kwa Ibrahim Bacca kuonesha uwezo wake
Imekuuma zaidi ya ilivyokuuma kipindi kile mchezaji professional km Wawa alipomkanyaga Ditram Nchimbi kwa maksudi kwenye derby?! Au unajifanya umesahau?! Mwosha Huoshwa
 
View attachment 2092976

Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana.

Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
Hii timu yenu ya ovyo sana, wachezaji wanalalamika, kocha analalamika hadi anapiga mateke viti, viongozi wanalalamika, msemaji wenu analalamika, mashabiki mnalalamikia hata mechi ambazo haziwahusu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 2092976

Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana.

Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
Sawa ila kwa mashabiki wa Simba Jambo Hilo ndiyo limekuwa mada wanafikiri jduma akipewa adhabu ya faini na kufungiwa mechi kadhaa upande wake utakuwa uchochoro na timu pinzani kuikwamisha Yanga ushindi katika mechi zijazo.Niwaambie mashabiki wa Simba mnapoteza muda bure Yanga ya sasa siyo ile Kuna watu wa maana kuziba na kucheza nafasi ya Djuma shabani na kibano kuwa palepale.Subiri mtaona Yanga ina kikapu Cha wachezaji siyo Makolo Ni hao hao Kapombe , Tshabalala na Onyango mechi kwa mechi.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom