Hii faulo ya Djuma Shabban ni Red Card (Lefa kapeta)

Hii faulo ya Djuma Shabban ni Red Card (Lefa kapeta)

Beki ya Police alifanya nini!?. Djuma ameshindwa kucheza mpira kwa sababu ya uzee wake analeta michezo ya ngumi.
Mimi huwa sichangii maoni biased kama haya yako. Kama hukuona alichokifanya beki Hadi akapigwa kiwiko wewe ni Mchambuzi mwenye mwelekeo.
 
Mimi huwa sichangii maoni biased kama haya yako. Kama hukuona alichokifanya beki Hadi akapigwa kiwiko wewe ni Mchambuzi mwenye mwelekeo.
Mimi naongelea ile ngumi aliyompiga mtanzania mwenzetu. Unaona ni halali kabisa!?
 
View attachment 2092976

Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana.

Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
TFF, Bodi ya Ligi na GSM ushirika wao unakwenda kuua mpira wa miguu.
 
Back
Top Bottom