Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Provacation bro,japo sio uungwanaKwa hiyo ukifanyiwa faulo, na wewe ukirudishia hauadhibiwi eeee?
Yaani unamtandika mtu ngumi kwani tupo Kivu ya Kaskazini!?
Mimi huwa sichangii maoni biased kama haya yako. Kama hukuona alichokifanya beki Hadi akapigwa kiwiko wewe ni Mchambuzi mwenye mwelekeo.Beki ya Police alifanya nini!?. Djuma ameshindwa kucheza mpira kwa sababu ya uzee wake analeta michezo ya ngumi.
Mimi naongelea ile ngumi aliyompiga mtanzania mwenzetu. Unaona ni halali kabisa!?Mimi huwa sichangii maoni biased kama haya yako. Kama hukuona alichokifanya beki Hadi akapigwa kiwiko wewe ni Mchambuzi mwenye mwelekeo.
TFF, Bodi ya Ligi na GSM ushirika wao unakwenda kuua mpira wa miguu.View attachment 2092976
Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana.
Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
Hilo nalo neno. Walishasema Kwa gharama yoyote ile lazima Utopolo wapewe taji la ubingwaMkuu unapoteza muda wako tu,Wachezaji wa Yanga ni wachezaji wa Mdhamini wa ligi Hawaguswi hao.