Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Mamilioni ya Watanzania bado hawana maji ya bomba, wanatumia maji ya mto, ziwa au madimbwi. Mamilioni ya Watanzania wanapokea pesa za TASAF hazitoshi kununua dawa ya mswaki.
Una Uhakika Unachokisema?
Maana Kuna Kipindi kulikuwa na Daw za Aha Mpaka Za Pakti ya Shilingi 50 ya Dawa ya Mswaki..

Maji ya Mto na madimbwi ni hatari hata Kuliko Maji ya Kawaida maana hata Hiyo fluoride haijapimwa kuonekana Ipo.kiasi gani!

Nakumbuka Kuna Mwaka walipima Maji ya Mkoa wa Geita kipindi hicho ilikuwa Wilaya chini ya Mkoa wa Mwanza walikuta Maji ya Visima yana Mercury Ya kutosha..

So tusidanganyane kwenye mahali pa Ukweli..

Sensa y mwaka 2022 Imesema Hali tifauti na Unachossma Hapo juu Jaribu kuipitia Sensa Hiyo.kuliko Kutoa Takwimu za Uongo kwa ajili ya Conspire na Imani yako
 
12.5% tu ya watu duniani ndio wanatumia dawa za Mswaki, Sehemu kubwa ya Watanzania wanatumia chumvi na majivu kupiga Mswaki, wengi hata hawapigi Mswaki kabisa

Mercury sio Flouride,

Sio kila mahali Tanzania hii kuna Mercury, sio kila mahali Tanzania kuna Flouride
 
Weka hapa sehemu ya sensa ya mwaka 2022 inayoonyesha idadi ya Watanzania wanaoutumia dawa za Mswaki
 
Hiyo Mercury Nimetoa Mfano kuwa Madini Mengi (Minerals) zikiwemo Arsenic zipo Kwenye Hyo maji ambayo hayajapimwa...

Kingine Hiyo Percent uliyoiweka umeitoa Kichwani au wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£
 
Weka hapa sehemu ya sensa ya mwaka 2022 inayoonyesha idadi ya Watanzania wanaoutumia dawa za Mswaki
🀣🀣🀣🀣
Hakukuwa na Hicho kipengele cha Watanzania wanaotumia Dawa ya Mswaki na wala hakukuwa na Kipengele cha wasiotumia,..Ila Mimi ninafnya sana studies na Nakumbuka Mwaka Fulani tulifanya Study nikiwa Associated Kwenye Study Fulani hivi kuhusu Kuongezeka kwa Magonjwa ya Kinywa na Meno nchini..

Na Niligundua Asilimia Kubwa ya Watanzania Hutumia Whitedent ikufuatiwa na Colgate na Kufuatiwa na dawa zingine..
Na Asilimia Chache Sana wanatumia Mkaa na Majivu..
Na percent unayotaja ya Mkaa na Majivu Iko Chini ya 20%
 
Tumeanza kupewa na nani wakati sehemu nyingi tu Flouride iko kwenye maji ambayo hayajaguswa kabisa na serikali??
Mbona Arusha wenye meno yaliyooza wanafauli kuliko sehemu nyingi sana za nchi zenye wanafunzi wenye meno meupe??
 
Tumeanza kupewa na nani wakati sehemu nyingi tu Flouride iko kwenye maji ambayo hayajaguswa kabisa na serikali??
Mbona Arusha wenye meno yaliyooza wanafauli kuliko sehemu nyingi sana za nchi zenye wanafunzi wenye meno meupe??
Nikuulize Swali Dogo la Ufahamu..
Unafahamu Tofauti ya Kufaulu na IQ?
Mtu akiambiwa ana IQ ndogo inamaanisha hawezi kufaulu?
 
Hiyo Mercury Nimetoa Mfano kuwa Madini Mengi (Minerals) zikiwemo Arsenic zipo Kwenye Hyo maji ambayo hayajapimwa...

Kingine Hiyo Percent uliyoiweka umeitoa Kichwani au wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£
Sasa mbona unasema tangu "tumeanza kupewa" Flouride wakati kuna maeneo mengi tu maji yako hivyo by nature??
 
Sasa mbona unasema tangu "tumeanza kupewa" Flouride wakati
Yeah Kwa sababu zamani Ilikuwa Ikifanyika Chlorination kabla ya Kuchange kwenda Fluoridation ambayo walisema ni njia Nzuri kuliko Chlorine..

Japo Kuna Baadhi ya Sehemu Walikuwa Wakizifanya zote kwa ajili ya Kupunguza magonjwa na Kuimarisha Mifupa na meno kwa pamoja..
kuna maeneo mengi tu maji yako hivyo by nature??

Na mara Nyingi maeneo hayo by Naturw kuna Tatizo la Cognitive Development
 
Hahaha hizi ni conspiracies tu, Kuna watu hufanya biashara kwa kila kitu. Hawa watu wanaweza kukujaza maneno ukadhani kweli. Mimi binafsi niliwahi kubishana nao mwisho wakaniuzia filter ya maji kampuni inaitwa "Kengan" wana products nyiingi, chai, dawa za meno na mengine mengi tu, Mwisho walinifungia filter ya maji inaitwa "Kengan Water filter", wakanipa chai na taka taka nyingi sana ukiwafuatilia utaamini. Niliwaamini lakini baadaye nikaamua kuachana nao, ilikuwa gharama sana ku maintain.

Basi ukapita muda, nikapata safari nikaenda huko Salt Lake City, Utah-USA, huko nikafikia kwenye familia moja wao wakani- introduce kwenye "Reverse Osmosis Water Filter", wanamaelezo meengi nikawaeleza kuhusu Kengan Water Filter, wakaponda sana. Wakaninunulia hiyo Reverse Osmosis water Filter kubwa na wakanisafirishia na kunifungia kwa gharama zao, Ndiyo maji mazuri lakini sikuona tatizo la alkaline water mwanzo, na hata hiyo ROW nayo sioni tatizo wala tofauti.

Mwisho,nikaja kuongea na Mjapan mmoja yeye akaniambia huyo Kengan ni mjapan ni maarufu na tajiri sana, akaniambia katajirika kwa kuwaaminisha watu habari ya ALKALINE WATER, lakini akasema hizo ni biashara tu.

Mwisho akaniambia USIKUBALI KUFANYWA MTEJA popote, watu watakuletea hadi research wanazolipia ziko kwenye journal mbalimbali kukuaminisha lakini ni uongo mtupu.

Hao wote ni consipacy theorist, none of it has any truth in it.
 
Ngoja nimuite mtaalamu wa haya madude....
cc Mathanzua


 
Cognitive ipoje Arusha, singida, shinyanga?

Prevalence ya magonjwa ya figo ipoje maeneo hayo?

Mababu walioishi kabla ya ujio wa maji ya bomba, dawa za meno, cognitive yao ilikuwaje?
 
Vipi kwa wakazi wa vijijini ambao hawanywi maji na hata kutumia dawa za meno kama watu wa mijini?
 
Cognitive ipoje Arusha, singida, shinyanga?

Prevalence ya magonjwa ya figo ipoje maeneo hayo?

Mababu walioishi kabla ya ujio wa maji ya bomba, dawa za meno, cognitive yao ilikuwaje?
We Unawaonaje watu wa Arusha Mkuu (No offence),
Mara Wadudu mara Nini..
Unahisi Watu wa Arusha (mavazi yao na hata akili zao) wanajitambua??
 
Nawaona kawaida, vp wa singida na shinyanga?
Unawaona Watu Arusha Kawaida kwa Jinsi walivyo??
Unatokea Mkoa gani mkuu??

Mkoa wa Shinyanga Mara ngapi Uliwahi kushika Mkia Matokeo ya Drs 7 miaka Fulani kwa Muda Mrefu mpaka walipojitahidi Kuweka Maji Kutoka Ziwa Victoria ndo baada ya Miaka kadhaa Ikarudi kwenye Nafasi za kawaida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…