KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699

Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?

Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo.

Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya maana, mainjinia bora wapo lakini tenda zimatoka kwa kujuana, bado zitoke 10%, hujaweka miundombinu mibovu inauoongeza tabu wakati huu wa mvua!

Hivi kuna kitu CCM inaweza kufanya vizuri zaidi ya kutesa wananchi kweli?🤔

Juzi tulikwama kwa foleni kutoka mbuyuni tegeta saa moja jioni kufika bunju saa tano usiku, katika hali ya kawaida ilikua ni safari ya dakika 20!
 
Halafu rafiki yangu Shemboza wa enzi na enzi kila ninapomuambia arudi Lushoto aishi maisha ya Ulaya, huwa mara zote ananijibu tu kwa mkato "Mimi Dar sihami"
Kwa shida hii kweli!!!! Hapo bado joto, vibaka, nk.
 
Unataka kusema hata huko kuna ule msemo wa "Lushoto mjini?"

Kazi kwelikweli
 
Kwenye hali kama hiyo wanaoendesha biashara ya daladala wanapataje pesa za uendeshaji? Au zenyewe zina njia yao
Njia ni moja , halafu mwenye gari hela ya siku isipo tosha haelewi.

Wastani kwa siku daladala hupoteza saa sita kwenye foleni .
 
Pakini magari nyieee
Barabara/miundombinu
Iko hoiii
Sasa hapo si mateso

Ova
 
View attachment 3580584

Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?

Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo.

Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya maana, mainjinia bora wapo lakini tenda zimatoka kwa kujuana, bado zitoke 10%, hujaweka miundombinu mibovu inauoongeza tabu wakati huu wa mvua!

Hivi kuna kitu CCM inaweza kufanya vizuri zaidi ya kutesa wananchi kweli?🤔

View attachment 3580583
Jamani yatosha tushajuwa mnamiliki magari. Tuacheni tupumzike hata sisi ipo siku tutamiliki.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom