Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Kuna shimo kubwa lilikua hapo Mbezi Magufuli pembeni ya daraja limefukiwa imejengwa barabara, yote yanawezekana tu km wananchi wakiamua sio CCM ikiamuaHivi kuna kitu CCM inaweza kufanya vizuri zaidi ya kutesa wananchi kweli?🤔
Kwenye hali kama hiyo wanaoendesha biashara ya daladala wanapataje pesa za uendeshaji? Au zenyewe zina njia yaoJuzi tulikwama kwa foleni kutoka mbuyuni tegeta saa moja jioni kufika bunju saa tano usiku, katika hali ya kawaida ilikua ni safari ya dakika 20!
Hivi Demi huwa upo pande ipi?Daslam bana
Unataka kusema hata huko kuna ule msemo wa "Lushoto mjini?"Halafu rafiki yangu Shemboza wa enzi na enzi kila ninapomuambia arudi Lushoto aishi maisha ya Ulaya, huwa mara zote ananijibu tu kwa mkato "Mimi Dar sihami"
Kwa shida hii kweli!!!! Hapo bado joto, vibaka, nk.
Njia ni moja , halafu mwenye gari hela ya siku isipo tosha haelewi.Kwenye hali kama hiyo wanaoendesha biashara ya daladala wanapataje pesa za uendeshaji? Au zenyewe zina njia yao
Jamani yatosha tushajuwa mnamiliki magari. Tuacheni tupumzike hata sisi ipo siku tutamiliki.View attachment 3580584
Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?
Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo.
Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya maana, mainjinia bora wapo lakini tenda zimatoka kwa kujuana, bado zitoke 10%, hujaweka miundombinu mibovu inauoongeza tabu wakati huu wa mvua!
Hivi kuna kitu CCM inaweza kufanya vizuri zaidi ya kutesa wananchi kweli?🤔
View attachment 3580583
Siyo MusomaNipo chuga. Karibu