Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
View attachment 3450689
Kuwa na adabu watz wapi hao. Sema weweWatanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Wewe ni mwendawazimu. Hao watanzania ulikutana nao wapi, na kwa njia gani walitumia kukupa wewe uwakilishi wa kuwasemea? Yamka kwa nafsi yako, ujue kuwa wapo watanzania ambao hawamtaki kabisa Samia, na mara kadhaa wametamka wazi kabisa, hata yeye anafahamu.Watanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Anapenda sana ChoiceVariable 😁Mifumo kusomana 😃😃😃
Mkuu HP aka Kiroboto kamwaga mtama hadharani!!! Na bado, Gwajima naye zimebaki siku chache ashushe kitu!!!
Joti ana msemo wake .... ,😂🤣🤣
😆😆😆 hapa nyumbu watakuja kukurushia madongoHapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
View attachment 3450689
Wewe Fala kwelikweli!!!Watanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Ona hili pungaWatanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Labda mi sio mtanzania etWatanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Vyama vingine mnalindwa kuigilizia fomu zenu za usajili ziwe kama za NIDA?Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
View attachment 3450689
aje kiongozi wako ebu acha kua kama mtoto wewempaka ulipofikia hapo yeye ndiokapambana Hadi unakaa kwa amani unakula Leo hii unamkataaje, Hamuoni madaraja na barabara?Wewe ni mwendawazimu. Hao watanzania ulikutana nao wapi, na kwa njia gani walitumia kukupa wewe uwakilishi wa kuwasemea? Yamka kwa nafsi yako, ujue kuwa wapo watanzania ambao hawamtaki kabisa Samia, na mara kadhaa wametamka wazi kabisa, hata yeye anafahamu.