Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

Watanzania tunaimani na Samia nyie endeleeni kupiga tuu kelele
Wewe ni mwendawazimu. Hao watanzania ulikutana nao wapi, na kwa njia gani walitumia kukupa wewe uwakilishi wa kuwasemea? Yamka kwa nafsi yako, ujue kuwa wapo watanzania ambao hawamtaki kabisa Samia, na mara kadhaa wametamka wazi kabisa, hata yeye anafahamu.
 
Watanzania tunasumbuliwa na ujinga, maradhi, umasikini, tunahitaji ukombozi wa ki fikra
 
Sasa unamkata
aje kiongozi wako ebu acha kua kama mtoto wewempaka ulipofikia hapo yeye ndiokapambana Hadi unakaa kwa amani unakula Leo hii unamkataaje, Hamuoni madaraja na barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…