Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Anajitoa fahamu tu huyuKwa barabara ipi? Na masafa ya wapi? na siunafahamu speed limit zetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitoa fahamu tu huyuKwa barabara ipi? Na masafa ya wapi? na siunafahamu speed limit zetu!
Dogo unaendeleaje na tugwari twako na tugorofa twako na kamshahara twako twa mil 53Mi siyo mhaya tafadhali niheshimu
Hahahahah ameandika ndoto zakeNina bahati mbaya na mashemeji
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala. Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia...www.jamiiforums.com
Ni wewe huyuhuyu?
Asante kutuondolea upwekeYes. Sometime napenda ku andika hivyo na wengine wasijione wapo peke yao.
Nlipoanza kazi nlikuwa natumia tu kagari kadogo BMW nlinunua mil 34 toka japan. Nikawa nasema anyway ni tu gari twa kimaskini ngoja kwanza angalau niwe na tuvibanda twangu angalau tutatu hivi. Hivyo nikawa na BMW na SUV -VW Tourage.
Basi nilijenga tu banda twangu twa ghorofa tuwili na moja ya kawaida ila ni kubwa pia. Na wazo langu sasa niwe na gari kubwa zaidi ya hizo.sababu salary pia iliongezwa kazini nikawa nalipwa mil 53 take home Ukiacha marupurupu mengi na safari za nje kila mwezi.nikasema ni wakati wa kumiliki V8 Angalau ya kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Na mimi huwa sinunui gari kama si chini ya 10,000 kms.
Wakati huo huo nawaza Sababu pia naipenda Ford Ranger ile ya Mmarekani mwenyewe. Sasa nachanganyikiwa nichukue gari zote mbili au nichukue moja kati ya hizo?nishaurini wadau.hizi nataka nianze nazo kwenye karatasi mwenyewe.
Sasa nataka kujua hizi gari ni imara kweli? V8 maana sometime nasafiri ndani TZ kwenye rough road. Na je mwenye uzoefu anaweza kunambia zile zenye speed 240-280 huwa zinafika vizuri tu hiyo speed? Maaana mimi huwa sipendi gari ya speed chini ya 200
Pia nataka ninunue na Mercedes Benz. Je hizi nazo mnazionaje? Maana naona wife yeye anataka hiyo kaipenda sana hatak kuendelea kutumia BMW X5 Anadai ameitumia miaka miwili amechoka anataka gari ya chini.hasa za kuanzia mwaka 2013 anasema kaiona ni nzuri.
Naombeni ushauri wenu hapo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nina bahati mbaya na mashemeji
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala. Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia...www.jamiiforums.com
Ni wewe huyuhuyu?