Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwahadithie watu ndoto zako,Nlipoanza kazi nlikuwa natumia tu kagari kadogo BMW nlinunua mil 34 toka japan. Nikawa nasema anyway ni tu gari twa kimaskini ngoja kwanza angalau niwe na tuvibanda twangu angalau tutatu hivi. Hivyo nikawa na BMW na SUV -VW Tourage.
Basi nilijenga tu banda twangu twa ghorofa tuwili na moja ya kawaida ila ni kubwa pia. Na wazo langu sasa niwe na gari kubwa zaidi ya hizo.sababu salary pia iliongezwa kazini nikawa nalipwa mil 53 take home Ukiacha marupurupu mengi na safari za nje kila mwezi.nikasema ni wakati wa kumiliki V8 Angalau ya kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Na mimi huwa sinunui gari kama si chini ya 10,000 kms.
Wakati huo huo nawaza Sababu pia naipenda Ford Ranger ile ya Mmarekani mwenyewe. Sasa nachanganyikiwa nichukue gari zote mbili au nichukue moja kati ya hizo?nishaurini wadau.hizi nataka nianze nazo kwenye karatasi mwenyewe.
Sasa nataka kujua hizi gari ni imara kweli? V8 maana sometime nasafiri ndani TZ kwenye rough road. Na je mwenye uzoefu anaweza kunambia zile zenye speed 240-280 huwa zinafika vizuri tu hiyo speed? Maaana mimi huwa sipendi gari ya speed chini ya 200
Pia nataka ninunue na Mercedes Benz. Je hizi nazo mnazionaje? Maana naona wife yeye anataka hiyo kaipenda sana hatak kuendelea kutumia BMW X5 Anadai ameitumia miaka miwili amechoka anataka gari ya chini.hasa za kuanzia mwaka 2013 anasema kaiona ni nzuri.
Naombeni ushauri wenu hapo.
Uliposema kwamba una BMW umenunua Mil 34 nikajua hapa hakuna kitu sasa unasemaje nimenunua simu laki 9 bila kusema simu gani, pia lugha ya twa, tuwili, tutatu hapo hakuna hata shule hahahaha
Sasa wewe si ndo ndezi uliesema umenunua BMW milioni 34 bila kusema ni BMW ipi? 3 Series, 5 Series, 7 Series inaonekana hata gari huna...Ungenyamaza chalii yangu maana unaonesha huna akili.hata mfano wako ni wa mtu ambaye hana akili.ngoja nikupe darsa.
Ukisema umenunua simu ni sawa na kusema nimenunua gari. Hayo majina yote in english we call them common noun.
Sasa mimi nimetaja proper noun.BMW. ambapo kwenye simu mtu angesema nmenunua SAMSUNG au IPHONE.
Sasa SAMSUNG na IPHONE zina Matoleo mengi ndo mtu akitaka zaidi atasema IPHONE 5 AU SAMSUNG S 8.
Sijui kama umeweza kuelewa.fahamu una deal na watu wenye akili siyo kama wewe kilaza.
Tunyumba, tu gari, tu vyumba haya ni maneno sahihi ktk kiswahili. Fasaha yanatumika Kudogosha. Kuonesha kuwa kitu hicho either umekidharau au ni kidogo.
kama ambavyo mtu angesema nina kagari kamoja. Au kameza keupe. Pia inatumika kama prefix ambayo inafanya kazi kama adjective.yaani kuvumisha.
Msione watu tumo humu tunacheka cheka na nyie mkadhani ni wenzenu.mpaka siku unikute na shangazi au mama yako ndo utaleta heshima
Sasa wewe si ndo ndezi uliesema umenunua BMW milioni 34 bila kusema ni BMW ipi? 3 Series, 5 Series, 7 Series inaonekana hata gari huna...
Hahahaha watu wote wana magari kasoro mim tuJF ni moja ya sehemu yenye mbwembwe na vimbwanga vya kila aina...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeshahama kwa dada??View attachment 1087520
Hahahaha watu wote wana magari kasoro mim tu
Sio kwa kufokonyoa huku.....Nina bahati mbaya na mashemeji
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala. Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia...www.jamiiforums.com
Ni wewe huyuhuyu?
Sio muhaya ni Dudu bayaMtoa mada atakuwa Muhaya
Hii ndo Jf bhna M53 hahhaaaa Utakuwa mhaya sio buree Na Ghorofa zako 2 duh!!! hngera