Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah naona umeamua kumvua tauloNina bahati mbaya na mashemeji
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala. Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia...www.jamiiforums.com
Ni wewe huyuhuyu?
Huyu jamaa nimpumbavu wa mwisho kabisa hivi unawezaje kujipa utukufu usiokuwa nao au amelogwa?Hahahahah naona umeamua kumvua taulo
Kwa hapo ulipofikia unatakiwa umiliki Chopa na siyo hiyo Mikokoteni......
Mkuu kwa kipato chako, ata ningekua na robo ya mshahara wako kwa mwezi ningechukua hizi ndude:
BMW X series (X5 F15 au X3 F25 BUT SIO X6 kimbia ilo gari halifai)
Land Cruiser J200 facelift mwaka 2015 hivi.
Discovery 4 au 3 Diesel.
Audi Q7
Kama Pickup Ford Ranger
Nyumba ya gorofa na ya kawida inamahusiano gani hapa pili mshahara wako unatuhusu nini tatu wewe ni limbukeni na nne tunaomba picha za gari zako na nyumba zako ili tuende sawa.
Hahahahah naona umeamua kumvua taulo
dadadeki.... unauza poda wewe
Huyu jamaa nimpumbavu wa mwisho kabisa hivi unawezaje kujipa utukufu usiokuwa nao au amelogwa?
Unaonaje ukitumia lugha ya taifa? Hiki kichina hata swahiba wangu Chin Sho joanah anatoka kapa wallah
Nlipoanza kazi nlikuwa natumia tu kagari kadogo BMW nlinunua mil 34 toka japan. Nikawa nasema anyway ni tu gari twa kimaskini ngoja kwanza angalau niwe na tuvibanda twangu angalau tutatu hivi. Hivyo nikawa na BMW na SUV -VW Tourage.
Basi nilijenga tu banda twangu twa ghorofa tuwili na moja ya kawaida ila ni kubwa pia. Na wazo langu sasa niwe na gari kubwa zaidi ya hizo.sababu salary pia iliongezwa kazini nikawa nalipwa mil 53 take home Ukiacha marupurupu mengi na safari za nje kila mwezi.nikasema ni wakati wa kumiliki V8 Angalau ya kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Na mimi huwa sinunui gari kama si chini ya 10,000 kms.
Wakati huo huo nawaza Sababu pia naipenda Ford Ranger ile ya Mmarekani mwenyewe. Sasa nachanganyikiwa nichukue gari zote mbili au nichukue moja kati ya hizo?nishaurini wadau.hizi nataka nianze nazo kwenye karatasi mwenyewe.
Sasa nataka kujua hizi gari ni imara kweli? V8 maana sometime nasafiri ndani TZ kwenye rough road. Na je mwenye uzoefu anaweza kunambia zile zenye speed 240-280 huwa zinafika vizuri tu hiyo speed? Maaana mimi huwa sipendi gari ya speed chini ya 200
Pia nataka ninunue na Mercedes Benz. Je hizi nazo mnazionaje? Maana naona wife yeye anataka hiyo kaipenda sana hatak kuendelea kutumia BMW X5 Anadai ameitumia miaka miwili amechoka anataka gari ya chini.hasa za kuanzia mwaka 2013 anasema kaiona ni nzuri.
Naombeni ushauri wenu hapo.