Hii habari ya CRDB kuwarejeshea fedha wateja wenye mikopo ni ya kweli?

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
Habari?
Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
 
Kama ni kweli lazima watajitangaza,ni Marketing Strategy nzuri.Hawawezi fanya kimyakimya..
 
Habari?
Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
Syo CRDB tu hata nbc wana recalculate wanarejesha.
Mi nimepata mwezi wa jana
 
Kuna siku nimemuuliza jamaa yangu wa CRDB anasema kuna wakati mtu anaomba mkopo sasa katika ule mwezi wa kwanza makato yanaweza kuwa yametangulia kabla ya mtu kupata mkopo kwahiyo wakimaliza mkopo inakuwa kuna mwezi mmoja mtu alilipa extra inabidi wamrudishie ela yake.

Sijui ni scenario hii au ni tofauti
 
Habari?
Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
Mkuu ushawahi kuishi Sri Lanka? Sri Lanka zamani ilikuwa inaitwa Ceylon na waingereza wenyeji wakaibalisha. Pia Taiwan ilikuwa inaitwa Famosa na Waingereza wakaibadilisha. Cambodia ilikuwa inaitwa Kampuchea wakaibalisha.
 
2 months ago kuna mtu amerudishiwa 1.2M ambayo imetokana na mkopo... Sikuhiz BOT ipo serious ikipitia auditing ikakuta kuna wateja wamepigwa pesa kwa bahat mbaya au makusudi wanaipiga faini kubwa bank, kwahio mabenki sasahivi wanarudisha pesa, ila zamani ilikua ukiliwa umeliwa
 
Mwenye details zaidi na kamilifu aelezee nn exactly kinarudishwa.
 
Matapeli wa bankabc walinirejeshea 480,000 walizonika bila hata kujaza mifom yao. Afisa wa losoni na mkuu wangu wa idara wakanipoza kwa laki 2 nilipowashirikisha wanangu wawili mmoja takukuru mkoa x akachek na wenzake wa wilaya nili, na tc fulan akachek tc wenzake wakatimba kwa afisa utumish direct na nisan lao.

Ndan ya nusu saa hela zote nikarudishiwa.

Hii bongo bila ujuaj unateseka sanan.
 
Nchi haina mifumo mkuu ndio maana wakati wa Magufuli kuna mambo tuliona yanaenda mara Takukuru imekomboa walimu waliodhurumiwa kwa riba za microfinance.

Baada ya kufa kwake ni wazi mambo mengi yatarejea labda Rais SSH awe serious sana japo ni ngumu sana kwa timu aliyochagua kuiamini haiko serious
 
Kuna siku nimemuuliza jamaa yangu wa CRDB anasema kuna wakati mtu anaomba mkopo sasa katika ule mwezi wa kwanza makato yanaweza kuwa yametangulia kabla ya mtu kupata mkopo kwahiyo wakimaliza mkopo inakuwa kuna mwezi mmoja mtu alilipa extra inabidi wamrudishie ela yake.

Sijui ni scenario hii au ni tofaut

Mwenye details zaidi na kamilifu aelezee nn exactly kinarudishwa.

Mimi nilipo maliza Deni,nilikaa zaidi ya mwaka.CRDB wakaniita, wakanirudishia Tshs 530000,kwanye account yangu.sikujaza form yoyote.habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom