Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho.

Ni tweet ya Haki Ngowi.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kuna wahuni wale walosema Bwawa la JN, litachelewa maana mkandarasi Kuna uchimbaji alikosea

Huenda wahuni hao hao ndio wamerudi kwenye DARAJA Hilo

Yote Kwa yote, kuonyesha kwamba JPM hakufanya la maana [emoji1787][emoji1787]

Baada ya hapo watahamia SGR, watahamia Daraja la sengerema, n.k
Hayo yatafanyika kuficha madhaifu na kushindwa kwao ,huku Gharama za Maisha zilipanda maradufu.

Kwa bahati mbaya sana, Mwongozaji wa Filamu hii, Kichwani ni Mweupeee!!!.
 
Sio ni katika taratibu za "kula kwa urefu wa kamba", wajipimie kwenye maeneo yao; mama anajua ila kasema wale kwa kiasi, wasivimbiwe!
 
Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho.

Ni tweet ya Haki Ngowi.
Lilifunguliwa bila ya Mganga wa Kienyeji kulifanyia Tambiko hivyo vuteni Subira litambikiwe Kwanza kisha mtaruhusiwa na Mamlaka kuendelea Kulitumia.
 
Magu alipiga, ndio maana mchwa wake wanalia upigaji ukianikwa, kwanza tulisusa kulizindua, ni vile tu team kuzimu ilitusishi, mabilioni yote hayo kwa daraja la hovyo hivyo
 
Kuna wahuni wale walosema Bwawa la JN, litachelewa maana mkandarasi Kuna uchimbaji alikosea

Huenda wahuni hao hao ndio wamerudi kwenye DARAJA Hilo

Yote Kwa yote, kuonyesha kwamba JPM hakufanya la maana [emoji1787][emoji1787]

Baada ya hapo watahamia SGR, watahamia Daraja la sengerema, n.k
Hayo yatafanyika kuficha madhaifu na kushindwa kwao ,huku Gharama za Maisha zilipanda maradufu.

Kwa bahati mbaya sana, Mwongozaji wa Filamu hii, Kichwani ni Mweupeee!!!.
Huezi elewa!&%#$
 
Hili daraja, njia za waenda kwa miguu ni nyembamba sana....

Anyways, labda wanataka watoe ule mwenge
 
Hivi pale mateja nao wananyofoa vyuma kama vile uswahilini kwetu.
 
tunaondoa mwenge naskia na kuweka kito cha Tanzanite
 
Bitozo aliagiza ule mwenge ubadilishwe, badala yake sanamu ya Tanzanite itumike..... Matengenezo hata kabla ya mwaka kupita!.
 
Kuna wahuni wale walosema Bwawa la JN, litachelewa maana mkandarasi Kuna uchimbaji alikosea

Huenda wahuni hao hao ndio wamerudi kwenye DARAJA Hilo

Yote Kwa yote, kuonyesha kwamba JPM hakufanya la maana [emoji1787][emoji1787]

Baada ya hapo watahamia SGR, watahamia Daraja la sengerema, n.k
Hayo yatafanyika kuficha madhaifu na kushindwa kwao ,huku Gharama za Maisha zilipanda maradufu.

Kwa bahati mbaya sana, Mwongozaji wa Filamu hii, Kichwani ni Mweupeee!!!.

Magufuli alijaza wabunge wa ccm huko bungeni kwa maelezo kuwa ni wazalendo, sasa hao wabunge wa ccm wazuie hayo matatizo.
 
Panahitajika tanzanight na sio mwenge. Mkuu katoa maelekezo.
 
22 April 2022

Tanroads Yatoa Tamko, Daraja la Tanzanite Kufungwa Kupisha Matengenezo​

Daraja la Tanzanite linatarajiwa kufanyiwa marekebisho kuanzia Jumamosi hadi Jumapili
WAKALA wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es salaam umetoa taarifa kwa Watumiaji barabara inayokwenda moja kwa moja hadi Daraja la Tanzanite kuwa Daraja hilo linatarajiwa kufanyiwa maboresho kadhaa ya miundombinu hivyo barabara hiyo itafungwa kuanzia Jumamosi ya April 23, 2022 saa 12 asubuhi na kufunguliwa Jumapili April 24, 2022 saa 12 jioni.

“Katika kipindi chote cha maboresho ya Daraja hili vyombo vya moto pamoja na watembea kwa miguu hawataruhusiwa kupita katika Daraja kwasababu za kiusalama.”

Watumiaji wa vyombo vya moto wameaswa kutumia njia mbadala
“TANROADS Mkoa wa Dar es salaam inawashauri watumiaji wa Daraja hilo kutumia barabara mbadala ya Kaunda na Ali Hassan Mwinyi wakati wa maboresho husika.

N.B
Habari za ziada, ubora wa daraja :

https://www.tanroads.go.tz › news
Daraja la TANZANITE kudumu zaidi ya miaka 100 - Tanroads

18 Feb 2021 — MHANDISI Miradi wa Daraja jipya la Selander (TANZANITE) Mhandisi Rajab Manger, amesema mradi wa Daraja jipya la Selander umeanza utekelezaji ...
 
01 February 2022
TOKA MAKTABA : DARAJA LA TANZANITE

VIGOGO WA MASAKI WAANZISHIWE MFUMO WA KULIPA WATUMIAPO DARAJA LA TANZANITE

TOZO KWA NJIA RAFIKI ISIYO NA MIANYA YA UFUJAJI MAPATO

Mfano ikipendeza serikali kuwatoza tozo watumiao daraja la Tanzanite lililopo jijini Dar es Salaam linalotumiwa na mabalozi pia maofisa wa ubalozi ambao hawatakiwi kulipa kodi kufuatana na mkataba wa Vienna 2 FAM 260 TAX EXEMPTIONS ACCORDED U.S. REPRESENTATIVES ABROAD kuhusu mabalozi, maofisa mabalozi lakini wengine wote raia wa kawaida wasio wanadiplomasia ambao ndiyo wengi wakaazi wa Oysterbay, Masaki, Msasani Peninsula na Msasani watatakiwa kulipa.

Jinsi ya kutoza tozo kwa kutumia mfumo wa computer wa TEHAMA wenye camera za CCTV halafu bill kutumwa kwa email na barua kwa wamiliki wa vyombo vilivyotumia miundo mbinu ya madaraja, vivuko na barabara

Figures for 2019 show that the road toll sector in Norway collected NOK 11.4 bn. through 64 toll road projects. The toll revenues stem from approximately 880 million transactions, of which approximately 77,8% are generated by vehicles with user agreements and toll payment tags.

An agreement with an AutoPASS toll service provider gives the user benefits such as discounted toll rates, one-hour rules, monthly caps and consolidated invoicing.

The remuneration to toll service providers is determined by the Ministry of Transport and Communications and has been set at 1.75% of the toll rate."

Source : Toll service domain

Jinsi ya kukusanya tozo ya matumizi ya miundo ya barabara na madaraja bila nafasi ya kuwepo ufujaji wa pesa za tozo

source : autopass
 
Back
Top Bottom