Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho.

Ni tweet ya Haki Ngowi.
Inawezekana! Si mama aliwaambia waondoe ule mwenge waweke Tanzanite? Labda ndiyo maboresho yenyewe?
 
Magu alipiga, ndio maana mchwa wake wanalia upigaji ukianikwa, kwanza tulisusa kulizindua, ni vile tu team kuzimu ilitusishi, mabilioni yote hayo kwa daraja la hovyo hivyo
Kwenye masuala ya uhandisi wa ujenzi wewe hujui chochote.bora ufiche ujinga wako tu.
 
Kuna wahuni wale walosema Bwawa la JN, litachelewa maana mkandarasi Kuna uchimbaji alikosea

Huenda wahuni hao hao ndio wamerudi kwenye DARAJA Hilo

Yote Kwa yote, kuonyesha kwamba JPM hakufanya la maana [emoji1787][emoji1787]

Baada ya hapo watahamia SGR, watahamia Daraja la sengerema, n.k
Hayo yatafanyika kuficha madhaifu na kushindwa kwao ,huku Gharama za Maisha zilipanda maradufu.

Kwa bahati mbaya sana, Mwongozaji wa Filamu hii, Kichwani ni Mweupeee!!!.
Nenda kazikwe naye, ukarabati tu mpaka watembea kwa miguu wanazuiwa .....Hilo daraja ni hatari kwa usalama na matumizi, JPM alipiga nusu ya hela
 
Kuna wahuni wale walosema Bwawa la JN, litachelewa maana mkandarasi Kuna uchimbaji alikosea

Huenda wahuni hao hao ndio wamerudi kwenye DARAJA Hilo

Yote Kwa yote, kuonyesha kwamba JPM hakufanya la maana [emoji1787][emoji1787]

Baada ya hapo watahamia SGR, watahamia Daraja la sengerema, n.k
Hayo yatafanyika kuficha madhaifu na kushindwa kwao ,huku Gharama za Maisha zilipanda maradufu.

Kwa bahati mbaya sana, Mwongozaji wa Filamu hii, Kichwani ni Mweupeee!!!.
Ni mweupe kama aliyekuzaa tu.
 
Nadhani wanaondoa lile li mwenge wanaweka li tanzanite likubwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katelefoni Usije SEMA mnalifunga Kwa sababu linatazamana na ukraine.
 
Back
Top Bottom