Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho.

Ni tweet ya Haki Ngowi.
Inawezekana! Si mama aliwaambia waondoe ule mwenge waweke Tanzanite? Labda ndiyo maboresho yenyewe?
 
Magu alipiga, ndio maana mchwa wake wanalia upigaji ukianikwa, kwanza tulisusa kulizindua, ni vile tu team kuzimu ilitusishi, mabilioni yote hayo kwa daraja la hovyo hivyo
Kwenye masuala ya uhandisi wa ujenzi wewe hujui chochote.bora ufiche ujinga wako tu.
 
Nenda kazikwe naye, ukarabati tu mpaka watembea kwa miguu wanazuiwa .....Hilo daraja ni hatari kwa usalama na matumizi, JPM alipiga nusu ya hela
 
Ni mweupe kama aliyekuzaa tu.
 
Nadhani wanaondoa lile li mwenge wanaweka li tanzanite likubwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katelefoni Usije SEMA mnalifunga Kwa sababu linatazamana na ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…