Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Hii ishu haijakaa sawa. Sijui kwa nini imedumu hadi leo?

IMG_20230305_190404.jpg
 
Naunga mkono.

Iende sambamba na ukomo wa Ki-staha- arabu na Ki-Ungwana.

Twaweza tumia nene Makini kama mbadala wa hayo.
Mfano 'Siasa makini' au yule mwanasiasa ni mtu makini badala ya kumbagua, akiwa na jina la 'kisiwani' wanasema ni Mstaarabu akiwa na jina la ' bara' wanasema 'muungwana'
Kwa maoni yangu, nia maneno ya kibaguzi na yashapitwa na wakati.

Amani iwafikie
 
Na Shenzi nalo. Maana waarabu wanaita watu weusi zenji, nadhani Shenzi lilitoka huko. Lakini kwa kiasi maneno haya yanakubalika vizuri.
 
Na Shenzi nalo. Maana waarabu wanaita watu weusi zenji, nadhani Shenzi lilitoka huko. Lakini kwa kiasi maneno haya yanakubalika vizuri.
Upo uwezekano huo. Kwani historia ya hilo neno linawezekana limetokea South East Asia. Kwa Wachina wa enzi hizo. Hao walikuwa wakifanya biashara na watu weusi au wazenji au wakutoka kisiwani ambao walikuwa ni wafanyabiashara kutoka Afrika enzi hizooooo. Sasa, wakati wa Ottoman empire ambao wana mahusiano ya karibu na Oman ambao ni waarabu, ndimo upo uwezekano wa wao kudakia hilo 'Shenzi' 'zenji' kama vile walivyokuwa wanawaita wenyeji wa Zanzibar ambao kwa Uhasilia walikuwa ni watu wa Kongo wa kabila la wangwana. Hapo basi!
 
Nimejaribu kufanya research kidogo Shwartz ina maana Black Kijerumani na huenda Shenzi limetokana na Shwartz.
 
kuna kashozi,aziz Ally,sinza palestina,argentina,morroco na n.k
na yenyewe tusemeje
 
Back
Top Bottom