Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

Naunga mkono.

Iende sambamba na ukomo wa Ki-staha- arabu na Ki-Ungwana.

Twaweza tumia nene Makini kama mbadala wa hayo.
Mfano 'Siasa makini' au yule mwanasiasa ni mtu makini badala ya kumbagua, akiwa na jina la 'kisiwani' wanasema ni Mstaarabu akiwa na jina la ' bara' wanasema 'muungwana'
Kwa maoni yangu, nia maneno ya kibaguzi na yashapitwa na wakati.

Amani iwafikie
tatizo la wabongo chuki
 
Upo uwezekano huo. Kwani historia ya hilo neno linawezekana limetokea South East Asia. Kwa Wachina wa enzi hizo. Hao walikuwa wakifanya biashara na watu weusi na wazenji au wakutoka kisiwani ambao walikuwa ni wafanyabiashara kutoka Afrika enzi hizooooo. Sasa, wakati wa Ottoman empire ambao wana mahusiano ya karibu na Oman ambao ni waarabu, ndimo upo uwezekano wa wao kudakia hilo 'Shenzi' 'zenji' kama vile walivyokuwa wanawaita wenyeji wa Zanzibar ambao kwa Uhasilia walikuwa ni watu wa Kongo wa kabila la wangwana. Hapo basi!
zenji tafusili yake shenzi umepata wapi tafsili hii?
 
Back
Top Bottom