Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

We sio shabiki wa Yanga, maelekezo hakutoa nungunungu. alitoa aziz key. lakini pia kocha alizingua kuomba wachezaji kuvolunteer wenyewe kwa wanao taka kupiga penalt.
 
Pole sana mleta uzi, usitegemee kugombanisha kwako Mkude na mashabiki kutakulipa. Wana Yanga wana focus mbele, huyo Mkude hata kama kuna maelekezo kayatoa hakukuwa na mawasiliano ya Mkude na mchezaji yeyote yule wa Simba hata kwa ishara. Bado wana Yanga wapo katika mshikamano ule ule jana bahati haikuwa kwa Yanga.
 
Mmepelekewa moto mpk mmechanganyikiwa,mada kila saa,yani ngao mmechukua lakini raha hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…