Sasa kama hata maana ya neno "technically" ni shida si bora nikuteme mkali!!!Hapa tunazungumzia chama , mambo ya mwajiri inatoka wapi,
Chama kipo pale unda serikali so kisipokuepo maana yake utumishi wa uma unakoma ? Mwajili ni mwananchi sio chama
Afute na chadema mana wanajichomeaga mpaka magari na kudai wamekoswakoswaSalam wana jf popote mlipo ,amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania...
Hii sio hoja yangu ,tueshimianeAfute na chadema mana wanajichomeaga mpaka magari na kudai wamekoswakoswa
Hoja inajielezaSasa kama hata maana ya neno "technically" ni shida si bora nikuteme mkali!!!
Sawa.Salam wana jf popote mlipo ,amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania...
Elimu, Elimu, Elimu.Salam wana jf popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania.
Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya kuomba kukifuta ni kama nitakavyoeleza .
Kwanza kabisa ccm ni chama kama vilivyo vyama vingine hivyo akiko juu ya sheria, ni lazima pia shughulikiwa pale kinaenda tofauti na sheria, na ukiukaji wa haki za kibinadam.
Binafsi naona kuna mambo wanafanya kwenye mikutano yao hayavumiliki,na yakiachwa wenda siku moja kama jamii , familia kuja kulia na kusaga meno.
Ikumbukwe naweza nisiwe ccm ila wapo ndugu , marafiki, amabao ni wanachama wao ila bado ni watu wetu wa karibu.
Kuna tabia ya Ccm na sio ya leo ya kusomba watu kwenye mikokoteni, mafuso, n.k toka sehem moja kwenda sehem nyingine ili kuongeza vichwa hasa kwenye mikutano ya mwenyekiti wao, hii ni hatari, na tumekua tukiwaonya na kuwambia hawasikii , kwa makusudi au kibri cha madaraka, na kwa kibri ichi ipo siku yanaweza tokea na kuacha majonzi makubwa kuanzia kwenye familia , jamii na taifa kwa ujumla.
Kwa kuwa ccm tumekua tunawambia, tunawashauri ila hawataki sikia kwa kibri cha madaraka na kwa kuwa ushahidi upo,
Naleta maombi binafsi kwako kama msajili kufutilia mbali chama ichi ili kuepusha majanga ambayo yanaweza kutokea bila sababu.
Thanks msajili
Huna akili yani kubeba watu wetu kwenye mikokoteni, power tiller, mafuso , unaona ni lawama zisizo na msingi, ndo maana tunasema ccm haijali utu wa watu ,msajili futilia mbali ccmSawa.
Maombi na lawama zako zisizo na msingi tumeyapokea na kwakweli hatuta yafanyia kazi kama ofisi, tutayapuuza tu.
Asante ndugu mwananchi.
Mkuu 4 7mbatizaji , kwanza naheshimu mawazo yako, pili mawazo kama haya ni ishara Watanzania wanahitaji elimu ya uraia kuhusu katiba, sheria, haki na wajibu.Naleta maombi binafsi kwako kama msajili kufutilia mbali chama ichi ili kuepusha majanga ambayo yanaweza kutokea bila sababu.
Thanks msajili
Kama ofisi,Huna akili yani kubeba watu wetu kwenye mikokoteni, power tiller, mafuso , unaona ni lawama zisizo na msingi, ndo maana tunasema ccm haijali utu wa watu ,msajili futilia mbali ccm
Kama ofisi ipi? Ni kipimo gani unatumia kwamba ni tatizo langu binafsi,Kama ofisi,
Tumekataa, hilo ni tatizo lako binafsi
Kama Ofisi ya Msajili ni Tawi la CCM basi hata Vyama vilivyodajiliwa na ofisi hiyo pia na Matawi ya CCM na hata wewe mwenyewe ni Mwana CCM. Kuna Vitu vingine ukivifikilia sana unaweza jikuta ukaanza kujiuliza hivi vijimamboOfisi ya msajili ni tawi la ccm kwa ajili ya kudhibiti vyama vya upinzani
Mkuu , nakueshim, najua hu mwanaccm na hii inaonesha ni kwa namna gani kwenu maisha ya watanzania sio kipaumbele bali dola kwenu ndo kipaumbele,Mkuu 4 7mbatizaji , kwanza naheshimu mawazo yako, pili mawazo kama haya ni ishara Watanzania wanahitaji elimu ya uraia kuhusu katiba, sheria, haki na wajibu.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, hivyo maoni yako kutaka CCM ifutwe ni maoni valid, ila sababu ulizotoa hazina mashiko kwasababu unaonyesha hujui sheria ya vyama vya siasa wala ni makosa gani yanaweza kupelekea chama cha siasa kufutwa. Hilo ulilolisema sii miongoni mwa sababu, ila umefanya vema kutoa angalizo muhimu, ili siku likitokea la kutokea angalau ulisema.
Pili kwa vile CCM ndio chama tawala, hata kikifanya makosa ya kustahili kufutwa, hakiwezi kufutwa wakati kikiwa madarakani kwasababu kwa mfumo wetu wa chama kushika hatamu za uongozi kuiongoza dola, then chama tawala ni dola CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
Dola haiwezi kuondoshwa madarakani hata ifanye makosa gani, hivyo CCM haiwezi kufutwa ila vyama vingine vinaweza kufutwa vinapofanya makosa.
Kwa muda niliokaa jf, mimi ni sawa na Mwalimu, kuna njia mbili za kujifunza na kuongeza maarifa.
1. Kuingia darasani kufundishwa
2. Kujisomea kujifunza.
Nimekuwekea makala zangu mbalimbali jisomee utajifunza chama cha siasa kikifanya kosa gani ndio kinaweza kufutwa.
Rejea:
- Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
- Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!
- Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!
- CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.
- Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!
- The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
- Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
P
asipo elewa na hii basi ujue ni aina wa wale wanafunzi ambao mpaka alambishwe viboko na makonzi hadi ahisi harufu ya damu ndio aanze kumfikiria kuanza kuelewaMkuu 4 7mbatizaji , kwanza naheshimu mawazo yako, pili mawazo kama haya ni ishara Watanzania wanahitaji elimu ya uraia kuhusu katiba, sheria, haki na wajibu.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, hivyo maoni yako kutaka CCM ifutwe ni maoni valid, ila sababu ulizotoa hazina mashiko kwasababu unaonyesha hujui sheria ya vyama vya siasa wala ni makosa gani yanaweza kupelekea chama cha siasa kufutwa. Hilo ulilolisema sii miongoni mwa sababu, ila umefanya vema kutoa angalizo muhimu, ili siku likitokea la kutokea angalau ulisema.
Pili kwa vile CCM ndio chama tawala, hata kikifanya makosa ya kustahili kufutwa, hakiwezi kufutwa wakati kikiwa madarakani kwasababu kwa mfumo wetu wa chama kushika hatamu za uongozi kuiongoza dola, then chama tawala ni dola CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
Dola haiwezi kuondoshwa madarakani hata ifanye makosa gani, hivyo CCM haiwezi kufutwa ila vyama vingine vinaweza kufutwa vinapofanya makosa.
Kwa muda niliokaa jf, mimi ni sawa na Mwalimu, kuna njia mbili za kujifunza na kuongeza maarifa.
1. Kuingia darasani kufundishwa
2. Kujisomea kujifunza.
Nimekuwekea makala zangu mbalimbali jisomee utajifunza chama cha siasa kikifanya kosa gani ndio kinaweza kufutwa.
Rejea:
- Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
- Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!
- Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!
- CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.
- Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!
- The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
- Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
P
fuatilia makala za Mwalimu Pasca Mayalla utagundua ni tatizo lako binafsiKama ofisi ipi? Ni kipimo gani unatumia kwamba ni tatizo langu binafsi,
Msajili fanya kazi yako futilia mbali ccm , hatutaki majanga yanayo weza kuepukika kisa ccm
π€£π€£Nimeona kama hii thread inakimbia vile
Mchezo wa CUFKuna tabia ya CCM na sio ya leo ya kusomba watu kwenye mikokoteni, mafuso, n.k toka sehem moja kwenda sehem nyingine ili kuongeza vichwa hasa kwenye mikutano ya mwenyekiti wao, hii ni hatari, na tumekua tukiwaonya na kuwambia hawasikii , kwa makusudi au kibri cha madaraka, na kwa kibri ichi ipo siku yanaweza tokea na kuacha majonzi makubwa kuanzia kwenye familia , jamii na taifa kwa ujumla.