Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

Pascal Mayala pamoja na kuwa mwanasheria kaivua nguo ofisi ya msajili, anasema, kwa ccm ni chama dola hata ikifanya makosa yoyote haiwezi kufutwa labda vyama vingine.

Sasa mtu kama uyu bado anataka nipitie makala zake nijifunze , nijifunze nini sasa wakati yeye mwenyewe anakili kwamba ccm ipo juu ya sheria
sawa
 
Kama akili za upinzani ndo izi basi tumasafari ndefu sana kufika nchi ya ahadi,kwanini usingeelezea kanuni na Sheria ipi imevunjwa ili ipatikane sababu ya kukifuta chama,halafu Kama ni swala la usalama mbona sehemu nyingi usafiri wa malori kubeba abiria unatumika,hususani minadani, ulishawahi kuchukua hatua gani?
Sehem nyingine kubeba watu kwenye malori kwamba unaona ni sawa, that's unaona pia ccm beba watu kwenye malori nayo ni sawa, tangu lini tz hii mafuso na malori yamealarishwa kuwa public transport, kama hakuna hualali huo basi kusafilisha watu kwa malori na mafuso ni makosa, na ccm inajua na inaendelea fanya makosa kusafirisha watu kwenye mafuso kuja kwenye mikutano yao
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-174434_Google.jpg
    Screenshot_20231018-174434_Google.jpg
    95.6 KB · Views: 3
Hii haikubaliki msajili
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-174434_Google.jpg
    Screenshot_20231018-174434_Google.jpg
    95.6 KB · Views: 3
Hapa tunazungumzia chama , mambo ya mwajiri inatoka wapi,

Chama kipo pale unda serikali so kisipokuepo maana yake utumishi wa uma unakoma ? Mwajili ni mwananchi sio chama
Hawatakuelewa mkuu🤣🤣🤣🤣💺
 
Back
Top Bottom