Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.

Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.

Azimio la kusitisha vita na kuruhusu vyakula na maji ni la dharura kwani watu wa Gaza wameanza kudhoofika kwa kutokula na kunywa vizuri huku wakianza kugombea kidogo kinachopatikana.

Umuhimu wa azimio hilo unakuja pia kwa kujua vita Israel inavyopigana havina tena malengo yenye kutekelezeka kutokana na kushindwa kuokoa mateka hata mmoja na hawajaweza kuzima mashambulio ya Hamas Gaza yote na ndani ya nchi yake.

Iwapo Marekani itapinga azimio hilo itakuwa imezidi kujijengea uadui dhidi yake kutoka kwa nchi hata zisizokuwa za kiislamu wala za kiarabu ambazo zinawaunga mkono wapalestina.Hilo itakuwa ni pigo jengine dhidi yake yenyewe
UN Security Council to vote on Gaza ceasefire resolution
Waislam wanatangulizaga Islamaphobia ili kuepuka kukosolewa kutokana na mafundisho yao mapotofu

View: https://x.com/AmyMek/status/1721810329204846854?s=20
 
Waarabu wawakaribishe Waarabu wenzao
 
Unakumbuka watu walivyokufa njaa vita ya Biafra? UN wanasema hali ya Gaza ni mbaya. na iko karibu na total collapse.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Zama zinabadilika,, huwezi linganisha hiyo biafra war ya miaka ya 67s na vita ya gaza,, biafra misaada ya kibinaadamu haikuwepo, gaza ipo ila zayuni anazuia,,
 
Back
Top Bottom