Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

Jichue
 
Kama unachukia hali hiyo basi tafuta namna ya kuachana na hili life. Ila Kama unaenjoy basi hamna shida.

Binafsi, sipendi kuwa around people. Na natamani ningeishi na mama maisha yangu yote sema ndo hivyo.
Ila mimi nina marafiki wawili wa kiume. Sina ukaribu na yeyote hata niliosoma nao nashindwa handle friendship. But naenjoy life na sijawahi kuhitaji zaidi
 
Njia ambayo anona ni rahisi na ninaweza kuenjoy ni kuwa na familia maana naweza kukaa na kucheza não na kutania,kwa kiasi flani nina comedy kwa wanangu na kwa mwanza wangu pale ninapokuwa naye japo ni kwa muda mfupi lakini na furaria,kuishi hivi nahofia kuyumba brain maana natumia muda mwingi kusoma na kazi ,sijawahi kufanikiwa kuwa na marafiki kabisa,nafikiria kuoa ,changamoto Za ndoa nimejipanga kuzi stahimili
 
Ndugu yangu,
Tafadhali usijute kuhusu hiyo Hali, hakika Kuna watu wanahitaji na hawajui wataipataje,

Huko unakohisi kuwa ungekuwepo kungekuwa Bora kuliko huku uliko nikujidanganya.

Mi nilikuwa kama hivo ulivo ww na naweza kusema ni mara mbili yako Nami nikaona hapana huu ni ulemavu ikabidi nijitahidi kujinasua, nikaweza kutoka!

Haki yanani kuwa social Kuna matatizo, changamoto nyingi na huenda unaweza ukachanganyikiwa kabisa.

Kuna faida ndogo saana kuliko hasara zake.

But nakushauri chagua vichache vyakubadilisha Ving Baki navyo.

Ukijichanganya na watu Kuna ujinga mwingi saana


Tena ukiwa introvert ndugu watu watakuheshimu, utafanya mambo yako Kwa utulivu, hakuna atakaekuletea shobo.

Kiukweli natamani kurudi huko ila ndo basi tena.

Kuna Uzi wangu humu niliandika miaka 5 iliyopita ilihusu hiyo Hali na namna gani ninavoichukia, ila saiv najuta kwann niliamua kuhangaika kuondokana na ile Hali.
 
Dah! Asante sana mkuu kwa ushauri,ndio maana nimeamua angalau niwe na família yangu Jirani ili wawe marafiki kwangu ,nipate muda wakufanya majadiliano maana kwa kwa sasa ,ni ofisini,workshop ,mbaya zaidi ofisi ni yangu,workshop zangu hivyo hakuna wa ku interact Nae kirahisi
 
Yeah! Ila usiogope sana kuhusu future. Fanya maamuzi sahihi kumpata mwandani wako.
Kama unataka kutengeneza marafiki, tafuta sehemu sahihi pia.
Issue ya kuyumba brain isikutishe, maana watu wenyewe wanaweza fanya ukayumba brain.
 
Hii ni kawaida,mimi sehemu Za kazi madogo wananiogopa sana,nawengine wanasema ninadharau,
kisirani jumlisha na kiburi cha uzima..weeeh.. ..acha kabisa maana kinakutembea mwenye damu aisee! . Umechagua namna ya kujiongelea ukijua wazi utapata majibu ya usawa huohuo..kule kwengine umenyuti.
Dizaini yenu nawaelewa vzr na namna ya kudeal nao tukikutana.. ..
 
Sina kosirani wala kiburi hili namshukuru Mwenye enzi,na siishi kwa kumfurahisha mtu wala kuishi kwa vita na mtu ,sina hayo unayodhania mbali ya mimi kuwa mkimya
 
Melancholic Phlegmatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…