TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #101
Wakuchangamsha yupoje?Unatakiwa upate mke atayechangamsha nyumba la ukioa hawa salamu Maria hiyo nyumba utaikimbiaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuchangamsha yupoje?Unatakiwa upate mke atayechangamsha nyumba la ukioa hawa salamu Maria hiyo nyumba utaikimbiaaa
Mke fulani hivi mcheshiWakuchangamsha yupoje?
Some how interested,issue nampataje na ninamtambuaje?Mke fulani hivi mcheshi
Umekaa zako busy na issue zako anatoka huko na ka 👙 anaanza kukatika with no reason🤣
Akupigishe story za hapa na pale akupe umbea wa mashost zake
Akusaidie kukaribisha wageni nyumba isiwe boring
Anaweza kuwa hata yeye aliyetoa huo ushauri 🤣🤣🤣Some how interested,issue nampataje na ninamtambuaje?
Na propose uwe wewe😊😊😊Mke fulani hivi mcheshi
Umekaa zako busy na issue zako anatoka huko na ka 👙 anaanza kukatika with no reason🤣
Akupigishe story za hapa na pale akupe umbea wa mashost zake
Akusaidie kukaribisha wageni nyumba isiwe boring
labda hajaona ule uzi 😛😛Anaweza kuwa hata yeye aliyetoa huo ushauri 🤣🤣🤣
ah mshenga wa hiariNa propose uwe wewe😊😊😊
Shida jamaa ana vigezo kama vya Oxford Scholarship! With his personality he needs to find a less strict funny girl. Ili akutoe kwenye ‘boring’ life that you’ve. But umesema pia hupendi kelele sa sijui itakuwaje. Muone Psychologist akusaidie.labda hajaona ule uzi 😛😛
ah mshenga wa hiari
Dah!😛,I second you kweli napenda awe mchangamfu with some comedies ,hayo makabila nimetaja nimeishi nao na wameshiriki kuniumiza hata pasipo na hatia kiasi na waogopa,but nothing moreShida jamaa ana vigezo kama vya Oxford Scholarship! With his personality he needs to find a less strict funny girl. Ili akutoe kwenye ‘boring’ life that you’ve. But umesema pia hupendi kelele sa sijui itakuwaje. Muone Psychologist akusaidie.
Ukizeeka utakuwa mchawiKatika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu.
Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa hii inaniendea kombo.
Nikikaa na kundi la vijana wenzangu huwa nakuwa msikilizaji tu tena kwa muda flani tu kisha naondoka zangu.
Napenda kujitenga sana na ninaweza kukaa Siku nzima peke yangu bila taabu yoyote ile,nikitumia muda huo kufanya kazi zangu Za kiofisi au nikifanya coding ama kufanya simulation za sakiti mbalimbali kama nipo nje ya majukumu ya kitabibu.
Nikiona mtu anaanza kunizoea huwa namkwepa haraka sana maana sipendi mazoea na watu.
Sehemu ninayoishi wapangaji wenzangu inaweza pita miezi 2 hatuja onana.
Sipendi kabisa kwenda katika matukio ya sherehe na hata ikiwa ni lazima huwa nakuwa mtu wakujitenga sana maana Mara nyingi huwa siambatani na mtu kabisa.
Sipendi kupiga piga picha hovyo kabisa. Napenda sana familia hapo ndio nadhani ni marafiki pekee naweza kudumu não japo sina família.
Japo kuna wakati huwa nakuwa mpweke mno hasa nisipokuwa na na kazi ya kufanya ,hivyo huwa najitahidi kuhakikisha nakuwa na kazi Ya kufanya kila Siku.
Mimi napambana kivyangu na mambo yangu sipendi kumshirikisha mtu kabisa ,ila huwa nakuwa na hisia yakumshirikisha mke tu lakini sina.
Ninaamini kwamba kuwa na marafiki na kujichanganya sana na watu ni njia rahisi ya mimi kujiletee matatizo.
Nafikiria kuoa ili kuepukana na hali hii nadhani itanisaidia.
Hapa tu ni katibu wa walozi Mawengi LudewaUkizeeka utakuwa mchawi
Si alimpa demu?Tafuta mtu aliyebobea katika maswala ya kisaikologia uongee nae. Angalia Adam alivyokuwa peke yake, Mungu akamuona mpweke akampa mwenzake. Wewe ni nani uishi kivyako?
Mkuu hakuna mtu ambaye kaumbwa awe pekeake pekeake tuu,kila mmoja anahitaji watu wa kuzunghmza nao,kutaniana na kucheka nao kila siku.Mkuu nina utaratibu wakutembelea watoto yatima kila baada ya miezi 3 japo kuna wakati naenda kwa mwaka mara moja,nina makundi ya whatssap huwa natoa michango kwenye matatizo ama furava,nina dispensary natenga kiasi kuhudumia wanaohitaji matibabu lakini hawanafedha kila mwezi hii haitoshi?
Bora kumbe tupo wengi nilijua ni mimi tu ndo naishi maisha ya namna hiiKatika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu.
Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa hii inaniendea kombo.
Nikikaa na kundi la vijana wenzangu huwa nakuwa msikilizaji tu tena kwa muda flani tu kisha naondoka zangu.
Napenda kujitenga sana na ninaweza kukaa Siku nzima peke yangu bila taabu yoyote ile,nikitumia muda huo kufanya kazi zangu Za kiofisi au nikifanya coding ama kufanya simulation za sakiti mbalimbali kama nipo nje ya majukumu ya kitabibu.
Nikiona mtu anaanza kunizoea huwa namkwepa haraka sana maana sipendi mazoea na watu.
Sehemu ninayoishi wapangaji wenzangu inaweza pita miezi 2 hatuja onana.
Sipendi kabisa kwenda katika matukio ya sherehe na hata ikiwa ni lazima huwa nakuwa mtu wakujitenga sana maana Mara nyingi huwa siambatani na mtu kabisa.
Sipendi kupiga piga picha hovyo kabisa. Napenda sana familia hapo ndio nadhani ni marafiki pekee naweza kudumu não japo sina família.
Japo kuna wakati huwa nakuwa mpweke mno hasa nisipokuwa na na kazi ya kufanya ,hivyo huwa najitahidi kuhakikisha nakuwa na kazi Ya kufanya kila Siku.
Mimi napambana kivyangu na mambo yangu sipendi kumshirikisha mtu kabisa ,ila huwa nakuwa na hisia yakumshirikisha mke tu lakini sina.
Ninaamini kwamba kuwa na marafiki na kujichanganya sana na watu ni njia rahisi ya mimi kujiletee matatizo.
Nafikiria kuoa ili kuepukana na hali hii nadhani itanisaidia.
Hebu tupia kapicha kausirious wako!Yeah ,yaani nipo hivyo,and i am too serious
Mimi nililelewa na Bibi na babu,siko hivyo,ni kama alivyoshauri jamaa wewe utakuwa melancholy!Ndugu nakutana nao kwenye vikao tuu mara chache sana,mama mwenyewe naweza maliza hata miezi sita sijaonana nae na kwa bahati mbaya zaidi mimi nilizaliwa peke yangu kwa baba na wawili kwa mama nasikubahatika kulelewa na wazazi.
Ninajua kuwa ni Melancholy,sina uhakika kama kutolelewa na wazazi kumechangia ila hayo ni maoni ya wadauMimi nililelewa na Bibi na babu,siko hivyo,ni kama alivyoshauri jamaa wewe utakuwa melancholy!