Hii hali inaniumiza sana

Hii hali inaniumiza sana

Maisha yanaongozwa kwa principle na siyo hisia.

Principle ya usaliti kwa mwanamke huwa ni moja tuu. Ambayo ni kuachana naye hata kama mmezaa watoto kumi. Achana naye anza upya.

Asili ya mwanamke anataka mwanamme shupavu ambaye siyo mnyonge, mpumbavu wala dhaifu.

Mwanamke atakusamehe kwa Kila kitu ila hawezi kukusamehe kwa kuwa mdhaifu. Mwanamme kama huwezi kumove on, unakuwa na udhaifu mkubwa sana ambao utamtilia shaka mwanamke wako.

Mambo 4 lazima yatokee kama ukiendelea kuishi naye. 1. Utakufa kwa stress 2. Atakuua ili awe huru na maisha yake 3. Atakucheat tena 4. Atakukimbia.
Sawa mkuu
 
Achana na huyo mwanamke mkuu

Nishawahi kupitia hiyo Hali niliamua kuachana nae na nikaja kugundua ni uamuzi Bora kabisa nliowahi kuufanya.

Kukosa options ndo kuna sababisha uone ugumu kumuachia, Wakati mwanamke anaweza kuwa na mahusiano serious na wewe lakini akaendelea kugawa namba huko nje just in case.... learn
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Mwanamke anaekupenda hawezi kukusaliti hata iweje,nimesoma komenti za wadau wengi wanashauri uachane nae,na Mimi nakazia hapohapo achana na huyo mwanamke hakufai,yaan mwanamke akitoka nje ya ndoa hatoacha kutoka atatoka tu,hivi ujua wanawake Wana drama Sana anaweza kuomba msamaha lakini asiwe anamaanisha,afya ya moyo wako ni kitu muhimu sana,afu hiyo kitu hutokaa ukaisahau mpaka unaingia kaburini,kila heri kwenye maamuz yako
 
Sawa kiongoz nimekuelewa
 
'mbaka' wewe ni mtu wa Iringa/Mbeya eee

Anyway, usaliti kwa mwanamke sio jambo la kulipotezea mana mwanamke anachepuka na moyo wake ila kama una uhakika wa yeye kutokurudia makosa hayo na kama kweli alichepuka kutokana na ugomvi wenu bc jilazimishe kusahau tuu japokuwa ni kweli naelewa n vigumu.
Kumbe una akili
 
Kumbuka kuwa kuna muda ilichomoka akaingiza mwenyewe kwa mikono yake.
Nilitaka kishangaa hii comment ikosekane kwenye issue kama hii 🤣🤣🤣🤣
Haya ndio matatizo ya kuingia kwenye mahusiano ukiajiaminisha kuwa demu wako ni wako peke yako. Mwanamke nae ana nyege jamani umiwa mbali lazima apate mtu wakumtibu.
Madame B anasema kaburi pekee yake ndio lako weye peke
 
Habar wana jf
Natumain mkosalama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.
To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana .
daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima .
kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali,
Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.
Nikweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali,
Leo niliamka vizur na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahid sana asijue chochote lakin hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo,
Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.
Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .
Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo .
Kwanza pole sana.. Lichukulie hilo kama changamoto Mojawapo kwenye mahusiano.. Kikubwa hapo ni huo upendo ulio nao kwake..jitahidi usife
Kuna sacrifice kubwa sana kwenye mapenzi ya kweli na msamaha.. Bila hii sacrifice msamaha hauna maana yoyote ile
Hiyo hali ikikutokea jitahidi kukumbuka yale mazuri yake kwako
Pale alipokushika mkono
Pale alipokunyanyua
Pale alipokufariji
Pale alipokukumbatia nknk
Jitahidi kukumbuka nyakati zenu za furaha
Asantee sana kaka nimekuelewa vizur ngoja nipambane
Mpende tu huyohuyo vumilia maana muda ni tiba (time heals)
Unamshauri kama wewe ndo umemgongea.Sikia babu mambo ni mawili tu hapo kumwacha aende,Au tafuta sababu ya kumuumiza na yeye hiyo ndo itakuwa dawA ya wewe kujitibu Otherwise hutoweza kusahau hilo piga tukio kama ana dada ukiweza piga kama uwezi tafuta kitoto cha afu mbili kipangie au Oa kabisa na huyo dem sijui mke akikisha amejua,Hivi ndivyo inavyotakiwa kuWa Mura.
Amenialika kwenye ushauri nimetimiza wajibu wangu.. Siwezi kamwe kumpa ushauri mbaya
FB_IMG_1727494695339.jpg
 
Amenialika kwenye ushauri nimetimiza wajibu wangu.. Siwezi kamwe kumpa ushauri mbayaView attachment 3109073
FB_IMG_1727494707423.jpg
 
Kwahiyo alipokunywa siku moja tu akapata na mwanaume wa kukusaliti naye siku hiyohiyo!

Sikia, mwanamke hawezi kujamiiana na mwanaume asiyekuwa na hisia naye. Mpaka mwanamke akusaliti anakuwa ameshapima faida na hasara.

Kamwe usiamini chozi la mwanamke. Wanajua kabisa akili za mwanaume zipo wired kumhurumia mwanamke mnyonge.

Ulipaswa kuachana naye. Never forgive a cheating woman. Huwa hawaachi.

Learn or perish.
 
Back
Top Bottom