Hii hali inaniumiza sana

Sawa mkuu
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Mwanamke anaekupenda hawezi kukusaliti hata iweje,nimesoma komenti za wadau wengi wanashauri uachane nae,na Mimi nakazia hapohapo achana na huyo mwanamke hakufai,yaan mwanamke akitoka nje ya ndoa hatoacha kutoka atatoka tu,hivi ujua wanawake Wana drama Sana anaweza kuomba msamaha lakini asiwe anamaanisha,afya ya moyo wako ni kitu muhimu sana,afu hiyo kitu hutokaa ukaisahau mpaka unaingia kaburini,kila heri kwenye maamuz yako
 
Sawa kiongoz nimekuelewa
 
Kumbe una akili
 
Kumbuka kuwa kuna muda ilichomoka akaingiza mwenyewe kwa mikono yake.
Nilitaka kishangaa hii comment ikosekane kwenye issue kama hii 🀣🀣🀣🀣
Haya ndio matatizo ya kuingia kwenye mahusiano ukiajiaminisha kuwa demu wako ni wako peke yako. Mwanamke nae ana nyege jamani umiwa mbali lazima apate mtu wakumtibu.
Madame B anasema kaburi pekee yake ndio lako weye peke
 
Kwanza pole sana.. Lichukulie hilo kama changamoto Mojawapo kwenye mahusiano.. Kikubwa hapo ni huo upendo ulio nao kwake..jitahidi usife
Kuna sacrifice kubwa sana kwenye mapenzi ya kweli na msamaha.. Bila hii sacrifice msamaha hauna maana yoyote ile
Hiyo hali ikikutokea jitahidi kukumbuka yale mazuri yake kwako
Pale alipokushika mkono
Pale alipokunyanyua
Pale alipokufariji
Pale alipokukumbatia nknk
Jitahidi kukumbuka nyakati zenu za furaha
Asantee sana kaka nimekuelewa vizur ngoja nipambane
Mpende tu huyohuyo vumilia maana muda ni tiba (time heals)
Amenialika kwenye ushauri nimetimiza wajibu wangu.. Siwezi kamwe kumpa ushauri mbaya
 
Kwanza pole sana.. Lichukulie hilo kama changamoto Mojawapo kwenye mahusiano.. Kikubwa hapo ni huo upendo ulio nao kwake..jitahidi usife
Kuna sacrifice kubwa sana kwenye mapenzi ya kweli na msamaha.. Bila hii sacrifice msamaha hauna maana yoyote ile
Hiyo hali ikikutokea jitahidi kukumbuka yale mazuri yake kwako
Pale alipokushika mkono
Pale alipokunyanyua
Pale alipokufariji
Pale alipokukumbatia nknk
Jitahidi kukumbuka nyakati zenu za furaha
Asantee sana kaka nimekuelewa vizur ngoja nipambane
Mpende tu huyohuyo vumilia maana muda ni tiba (time heals)
Amenialika kwenye ushauri nimetimiza wajibu wangu.. Siwezi kamwe kumpa ushauri mbayaView attachment 3109073
 
Kwahiyo alipokunywa siku moja tu akapata na mwanaume wa kukusaliti naye siku hiyohiyo!

Sikia, mwanamke hawezi kujamiiana na mwanaume asiyekuwa na hisia naye. Mpaka mwanamke akusaliti anakuwa ameshapima faida na hasara.

Kamwe usiamini chozi la mwanamke. Wanajua kabisa akili za mwanaume zipo wired kumhurumia mwanamke mnyonge.

Ulipaswa kuachana naye. Never forgive a cheating woman. Huwa hawaachi.

Learn or perish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…