Hii hali inaniumiza sana

Yeye ndo akucheat halafu wewe ndo uumie na upitie magumu aisee we jamaa una upendo wa agape, ukimuacha huyo ntakupa mdogo wangu umuoe kabisa bila mahari.

Mimi ndo ningekua wewe huyo dem hamna rangi angeacha kuona, nipe upendo nikupe upendo, ni win win situation.
Aliemkung'uta ni suala la muda tu amkung'ute tena we si una manung'uniko acha akajipe raha huko
 
Majibu ulikuwa nayo hapa kwenye uzi huu
 

Hakika lazma atashika ujauzito huyo kiumbe kisha amsakizie jamaa kuwa ni wakwake, Nae jamaa alivo boya boy atasamehe kama kawa hahahah!!!!
 
Sina uzoefu na mahusiona ila natia neno mkuu.

Mkuu haujasamehe bado.

Ningekua ni mimi nisingemsamehe mapema hivyo, na hata nikitaka kumsamehe ningemsamehe kwa condition(s) maalumu kufukiwa.

Sasa kama Ningelikua ni mimi ningelikata rufaa... Tungerudi tena mezani kwa heshima na taadhima.

Tunaziweka tofauti zetu mezani, kila mmoja anajielezea honestly na kwa uwazi alianguka wapi, nini hapendi na nini anapenda alichukizwa na nini kiasi gani na kwanini. (Kiufupi kila mmoja anatema kinyongo alichonacho na namna anavyo feel).

Wakati hayo yote yanafanyika yafanyike katika hali ya usawa, yaani isionekane mmoja ndio mwenye makosa sana na mwingine anatumia kimao hicho kama kumtuhumu au kum'onya mwingine.

Ikiwezekana mnaweza mkazichukua zi 4R mkazitafsiri katika ngazi ya familia na mkazitumia.

Baada ya hatua hiyo tunaingia katika makubaliano ambayo yatazingatia kukidhi mahitaji (conditions to be met).

Ninaamini ups and downs mlizopitia hadi kuchepuka zimetengeneza/zimechafua fikra/emotions hasa huyo mwanamke dhidi yako. Hii ni kisaikolojia zaidi mambo kama haya counselling na msamaha wa maneno tu haitoshi.

Chukulia mfano computer imedukuliwa mathalani imeingiziwa virus, bila shaka itaanza ku-misbehave na mambo kama kupoteza taarifa, kuiba taarifa, kwenda kinyume na shuhuri/taratibu na matakwa yako kama ulivyo i-programe(iseti) na mwishowe inaweza ku-collapse kabisa. Kumbuka sizungumzii computer.

Sasa kwa matatizo ya kiufundi kama haya yanaitaji utatuzi wa kiufundi... Kuondoa virus/foctory reset/kusafisha.

Baada ya kila mmoja kutema nyongo na kuweka tofauti zetu mezani pale sasa hatua ya mwisho ni kusafisha hikra/factory reset. Kivipi ni hivi!! ;

Unaandaa mpango mkakati moto wa huo mpango au ukiwa na lengo la KUJENGA FAMILIA BORA NA ENDELEVU.

Tutasameheana endapo tutatimiza konditions hizi kwa uaminifu.

1)Kwa muda wa siku arobaini tutakua mlo mmoja tu punde baada ya jua kuzama na giza kutanda saa moja hadi saa mbili hapo kila siku.

2)Ndani ya huo muda wa siku arobaini hatutakutana kimwili wala kuendeleza fikra za tendo la ndoa kwa namna yeyote ile(kujichua).

3)Kuwa na fikra chanya (positivity ndani ya hicho kipindi cha siku arobaini, pia kutokuendekeza mambo ya anasa(starehe(ikiwemo kutumia simu kupitiliza)

Yakifikiwa haya kwa ufanisi mkubwa basi msamaha umepita kwa kila mmoja.
 
kifupi tu usishauriwe na wanakuambia upotezee umsamehe....hao ni viumbe dhaifu na kama wewe unajijua unaudhaifu fulani..ak.a chumbani au maumbile au chochote....unaweza kumsamehe ila utakufa kabla ya siku zako( haivumiliki kugongewa)piga chini futa file zote kichwani tafuta mwingine akusaliti ila inatakiwa wala usione wala kuhisi ukijua tu.....imeisha...utaishia kulewa hovyo au kujidhuru na mavitu mengine...
 
Bro kwani ulimkuta bikra?
Acha kujimaliza kiboya,mbona huwa huwazii aliyopitia kabla ya kuwa na wewee?
By the way,wewe haucheat? Acha kujimaliza bro,hata sisi yanatukuta tunapotezea na life linasonga
 
Govi ni govi na mapenz ni mapenzi ni ma dingi wangapi wa 1976+ ila wanalizwa na vitoto vya 2004 +
Govi maumivu yake unayajua lakini ushawahi banwa na zipu kwenye ngozi ya pumbu mpaka unajiuliza upandishe juu au ushushe chini kuinusuru pumbu yako? Au unasikia tu? Mapenzi hayana maumivu ukiyapuuza ila ukiyazingatia lazima uumie tu
 
Bro kwani ulimkuta bikra?
Acha kujimaliza kiboya,mbona huwa huwazii aliyopitia kabla ya kuwa na wewee?
By the way,wewe haucheat? Acha kujimaliza bro,hata sisi yanatukuta tunapotezea na life linasonga
Kosa kubwa la huyo jamaa ni kumpenda huyo mwanamke na kumuona kwamba ndio mama yake mzazi. Jamaa kasema hana hata ka plan B ka pembeni yeye kakomaa tu na "bomu" lake mpaka limlipukie limuue.
 
Govi maumivu yake unayajua lakini ushawahi banwa na zipu kwenye ngozi ya pumbu mpaka unajiuliza upandishe juu au ushushe chini kuinusuru pumbu yako? Au unasikia tu? Mapenzi hayana maumivu ukiyapuuza ila ukiyazingatia lazima uumie tu
Mkuu acha habari za govi na mapenz kuna mwana alikuta manzi yake mwamba kamkuja ukuni uko ndan una sugua kipele ile moment mpk leo mwana kawa mlevi kinyama halafu mpk na akili iko km imeruka
 
Ningekua ni mimi nisingemsamehe mapema hivyo, na hata nikitaka kumsamehe ningemsamehe kwa condition(s) maalumu kufukiwa.
Msaliti hasamehewi ndio maana wanajeshi mkienda vitani wakikugundua wewe wenzio wanaenda mbele wewe unarudi nyuma unapigwa risasi maana wanajua wewe ni msaliti sio mwenzao
 
Mkuu acha habari za govi na mapenz kuna mwana alikuta manzi yake mwamba kamkuja ukuni uko ndan una sugua kipele ile moment mpk leo mwana kawa mlevi kinyama halafu mpk na akili iko km imeruka
Mapenzi ukiyazingatia ndio yanakuumiza ukiyapuuza hayana time na wewe mboni nimekwambia hapo hujaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…