Hii hali inaniumiza sana

Hii hali inaniumiza sana

Daah nahsi nahtaji Therapist for sure
Hauitaji therapist maana hiyo memory haitafutika As long as unaishi Nae.
Msaliti hasamehewi! Hapo ni kumwambia ukweli tu kuwa kwa kilichotokea unaona ni bora u move on hiyo ndo therapy ya kweli na itakuchukua mwezi mmoja tu unasahau.

Ila kwa staili ya kuwa nae kila siku mnaonana haiwezi ondoka hiyo hali na unaweza anza create picha picha zingine jinsi alivokua anashughulikiwa.

Huo ndo ukweli mchungu.
 
Sometimes nawaza hilo but i know it’s take a time for me kiongoz
Mkuu. Achana na ushauri wa kumwacha haufai. Kwa sababu:
1. Mkeo hana uzoefu wa kuzini, kama angekuwa mzoefu usingejua chochote. Lakini kwa uaminifu yeye ndiye ameumia moyoni na kukwambia ukweli.

2. Tatizo lilianzia kwenye ugomvi. Na hatujui ulikuwa unamjibu nini ukiwa kwenye hasira. Na Je, ktk ugomvi na kutokutana naye wewe hukuchepuka? Hayo tuyaache.

3. Wewe UMESHINDA TAYARI. Watu kama wewe mimi nawaheshimu sana. Ninyi mnao uwezo mkubwa wa kusamehe Ninao jamaa zangu kama wawili ambao walisalitiwa na wake zao lakini wamesamehe na MAISHA yanasonga. Kwa kuwa umemsamehe, jitahidi usikumbuke ubaya, kumbuka mema yake. Mimi naona huyu mtu anakupenda na anahofu. Kuna watu humu tunajiona tuko salama sana lakini hakuna usalama ni vile tu watendaji ni wazoefu.

4...
 
Mwanamke anaekupenda hawezi kukusaliti hata iweje,nimesoma komenti za wadau wengi wanashauri uachane nae,na Mimi nakazia hapohapo achana na huyo mwanamke hakufai,yaan mwanamke akitoka nje ya ndoa hatoacha kutoka atatoka tu,hivi ujua wanawake Wana drama Sana anaweza kuomba msamaha lakini asiwe anamaanisha,afya ya moyo wako ni kitu muhimu sana,afu hiyo kitu hutokaa ukaisahau mpaka unaingia kaburini,kila heri kwenye maamuz yako
True 100%
 
Nakubaliana na ww kbs ndio maana nika muuliza mdau hana madem nje? Nilitaka kujua kitu mara nying men wenye nyondi nyingi nyondi moja ikizingua Huwez kuwa na stress za ovyo
Ndio maana nakwambia mapenzi usipoyazingatia sana na yenyewe hayakuzingatii kabisa ila ukiyazingatia yanakuumiza kwa hio hapo kuacha mitabia ya kupenda kwa kuzingatia sana wewe mimi nna mchuchu kafunguka kabisa najua wewe mwanaume kwa hio km utakua na vimada huko pambana navyo ila tu mimi nisijue hapo nilipoelewa kwamba huyu amegundua mimi siyazingatii sana mapenzi yaan ninaposema kuyazingatia namaanisha mapenzi yasiwe kitu kinachokuumiza kichwa umiza kichwa kwenye vitu vingine sio mapenzi hapo hutoumia kibwege na mapenzi
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Mkuu Habari ,

Kwanza pole sana kwa yale unayopitia na pia nikupongeze kwa ujasiri wa kutushirikisha katika jukwaa hili.

Tambua kuwa kitendo cha kushirikisha ni njia mojawapo ya kuondoa yanayosumbua moyo.

Kabla ya kusema chochote ,Napenda nijue tukio la usaliti lilitokea lini na hadi unagundua ni muda gani zaidi hadi sasa unaandika ni muda gani umepita tangu umemsamehe na maisha yanaendelea.

LAKINI sababu ipi imekufanya umsamehe , na ana mchango gani kwenye maisha yako ?

NB:Nina maswali mengi kabla ya kutoa neno langu juu ya kadhia yako hivo ikikupendeza nijibu ili nipate .mwanga wa kuanzia
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Bro.
Samehe sahau mabaya na ujitahidi kumbuka mema yake na kama unauwezo mzingatie zaidi ya kawaida, kama utaweza mtoe out sana kama unauwezo hata wa kumpeleka tours mbali mbali nenda nae.

Chukulia kama chachu ya kujenga maisha mapya na bora.

Kumuacha haitoweza kuwa suluhisho mana hakuna mwanamke mkamilifu labda umuumbe wako, usiachane na mpenzi wako komaa matatizo huja ili yatatuliwe ndy maana ya maisha mkuu, huwezi pata mazuri tu ukasema unaishi duniani we kaza moyo kuwa na tabia za mwanaume usiwe na tabia za kijana.

Anaekushauri huyo mwanamke hakufai je yeye anajua anayekufaa ni yupi?

Umehangaika nae miaka mi 3 mmeshaanza kuzieana saivi unajivuruga unataka ukaanze mapya uendako hukujui, ukikutana na kicheche utafanyaje mana wako madem wanaojua kuzingua kwenye mahusiano je utamuacha tena?
Kama ukimuacha utakuwa Ni mtu wa mahusiano mapya hadi lini?
 
They say never go back to the woman who cheated, i second that.
 
Mwanamke akichiti hupaswi kumsamehe.

Pata picha kuna muda ilikuwa ikitoka anairudishia mwenyewe kwa mikono yake.
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Jamaa alimwagia ndani au walitumia kondomu?
 
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vyakuzua.

Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua

Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu najisumbua
Si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawaonga....

Oooh! Mapenzi yalinifanya ka-mtoto nilie vibaya, mie siwezi, kwa yalonikuta we niache niseme jina

Ooooh! Mapenzi yalinifanya ka-mtoto nilie vibaya na nnamengi yamenijaa moyoniii.

Leo nataka kulewa.
Lewaaaaa......
Mi nataka kulewa
Lewaaaaa.....
Mpuuzi wewe nimecheka kama mjinga
 
Mkuu knows pole sana Kaka kwa hiyo hali unayooitia na Ushauri wa Mshana Jr umekuwa ni bora sana kukusaidia kukupunguzia hayo maumivu unayopitia.
Mkuu asikwambie mtu hakuna kitu kinachoumiza kama usaliti hasa pale wewe unakuwa ni muaminifu halafu mtu wako anakusaliti. Nina same case na wewe lakini Mimi sio Mpenzi ni Mama mzazi, ubaya wa kila namna alinifanyia ninaposema Ubaya elewa ubaya wa Kiafrica Matusi, masimango, kufukuzwa wakati ninaumwa, ushirikina nk , ameniomba msamaha na nimemsamehe kiroho safi lakini wakati mwingine huwa najikuta nikikumbuka yale mambo aliyonifanyia huwa nakosa kabisa furaha, najisikia hasira, najisikia kulia, najisikia mnyonge na kila hali mbaya. Huwa inaumiza sana japo nimeshamsamehe lakini kumbukumbu imekuwa ni ngumu kufutika. Nimefanya njia zote za kuomba ushauri, kusoma vitabu na kujichanganya sana na watu nakaa sawa lakini nikikumbuka huwa narudi kuvunjika sana moyo.
Mkuu huo ni mtihani na imeahakuwa kama kidonda ishi nacho tu. Ngumu kuondokana na hiyo hali na ukiangalia hukuwahi kumsaliti yaani wewe upo clean. Ishi tu Mshikaji wangu ukiona hizo memories zinakujia kwa wakati huo jaribu kufanya mambo mengine yanayo ku keep busy na kukufurahisha ili kutokuendeleza hizo memories kukuathiri.
Hakuna mtu asiyekuwa na changamoto Mkuu na huo ndio mtihani wako.
La mwisho tafuta siku nzuri ya mapumziko utoke nje ya mazingira mliyoyazoea na huyo MpenZi wako mkafurahie maisha na ujaribu kumuelezea vile ulivyoumia na lile tukio alilokupiga nalo. Lakini ukiwa kama Mwanamume umesamehe. Jitahidi uwe unapata muda wa kuzingumzia maisha yenu kwa upana kila mara hata mara moja au mbili kwa mwezi. Hiyo itasaidia kuboresha afya ya mahusiano yenu.
 
Back
Top Bottom