Hii hali inaniumiza sana

Hii hali inaniumiza sana

Umemuoa ?? Au sogea tuishi.?? Kama sogea tuishi atakuua siku moja kwa mawazo hapo hamna mke mzee wangu

Wahenga wanasema nyota njema huonekana Alfajiri mapema sana

Atakuja kuua kwa mawazo
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Apo tukushauri nini uamuzi ni wako endelea kuumia au tafuta chombo nyingine
 
Kwahiyo alipokunywa siku moja tu akapata na mwanaume wa kukusaliti naye siku hiyohiyo!

Sikia, mwanamke hawezi kujamiiana na mwanaume asiyekuwa na hisia naye. Mpaka mwanamke akusaliti anakuwa ameshapima faida na hasara.

Kamwe usiamini chozi la mwanamke. Wanajua kabisa akili za mwanaume zipo wired kumhurumia mwanamke mnyonge.

Ulipaswa kuachana naye. Never forgive a cheating woman. Huwa hawaachi.

Learn or perish.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Umemuoa ?? Au sogea tuishi.?? Kama sogea tuishi atakuua siku moja kwa mawazo hapo hamna mke mzee wangu

Wahenga wanasema nyota njema huonekana Alfajiri mapema sana

Atakuja kuua kwa mawazo
Nikweli kiongoz nimeliona hilo
 
Tatizo umesamehe lakini hujaachilia,baada ya kusamehe jitahidi kuachilia na kuachilia siyo kazi rahisi ni kazi ambayo ina hitaji kupambana na hali inayokukumbusha tukio lililofanywa na mke wako.

Kuwa pamoja Mme na mke kama wanandoa ni mpango wa Mungu mwenyewe,kitu ambacho adui wa Mungu ambaye ni shetani hakipendi kabisa,kwa kuwa lengo la shetani ni kutaka wanadamu waendelee kumchukiza Mungu kwa mambo ya uzinzi na mambo mengine machafu.

Ndoa ni fumbo ambalo jibu lake analijua Mungu mwenwe usifikrie kutibu tatizo lililotokea kwa kumuacha mke wako aliyekukosea kwa kuoa mke mwingine huko ni kucheza kamari ambayo hujui kama utapata au utakosa,unaweza ukamuacha mke wako aliyekusaliti na kuoa mke mwingine mbeleni ukajakujuta zaidi ya unavyojuta sasa, kwa kuwa ndani ya ndoa makosa si kusalitiana peke yake kuna makosa zaidi ya kusalitiana unaweza ukamuacha mke wako aliyetumiwa na shetani kukusaliti ukamuoa shetani mwenyewe ukamuweka ndani ya nyumba hata mlango wa kutokea usiupate.

Mpaka mahali mlipofikia mke wako atakuwa amejutia vya kutosha kwa kitendo alchokufanyia na hawezi kurudia tena kitendo hicho,kwa maana nyingine yeye amemshinda shetani aliyemtuma kukusaliti na lengo lake ni kuwafarakanisha ili kuvunja ndoa yenu na wewe inakupasa kumshinda shetani kwa kupambana na hali inayokurudiarudia kwa mbinu ya kuachilia.

Na ukiendekeza hali hiyo unaweza ukajikuta unaletewa wazo la kuondokana na aibu hiyo kwa njia ya kujinyonga.
Nashukuru kiongoz kwa ushauri wako nimekuelewa
 
Huko utapoteza muda na hela zako tu, ungekuwa na amani sana kama angekudanganya kuwa hajagongwa, lkn kwa kuwa amekuambia yeye mwenyewe 😀😀 kuwa aligongwa.
Kuna siku atachelewa sokoni we utakasirika na utadhani kuwa ameenda kwa jamaa kupata utamu
Aloo weacha tu kiongoz
 
Mwambie ukweli tu tafuta mwingine ataumia ataumia kwahiyo uko radhi wewe uteketee mwenzako afurahie kwanza huyo hana subira jiandae kulea watoto ambao sio wako.eti atalia wiki nzima unaakili wewe watu wanajua kuekti bongo mvi,mi kwenye usaliti sinaga. Msamaha
Sawa mkuu
 
Aiseee pole ila kwan ukupewa elimu ukiwa na mke lazma awe na awara wake wakumpa raha ss tulisha jengewa mising na wazee wetu mwanaume hapo peke yako kwaiyo chukulia tu kama ajali acha uzaifu mshamba ww
Sawa kiongoz
 
Daah kwa hiyo.. Shemeji aliinyonya kwanza... akaishika shika... na kuitumbukiza kwa mikono yake.. na pale ilipochomoka baaasi bila hiyana aliirudishia haraka haraka....

Ikumbukwe alikulana na jamaa akiwa amelewa.. soo jamaa alipewa ya hela yote! 😋 Gadddaaamit..
 
Aliyekwambia mwanamke msaliti anasamehewa ni nani?Mwanamke hasaliti kwa bahati mbaya hapo ataliwa tena na tena.Niko hapa utanambia anyway endelea kuteseka na hilo LIMBWATA LA MTUMBA
🙄🙄
 
Hivi na wewe ni mwanamume kweli? Eti unajitahidi usimfanye ajisikie vibaya sasa unalialia nini?

Endelea kuhakikisha ana furaha muda wote ili akupige matukio mengi zaidi.

Mwanamke akishasaliti huyo ni kumpa summary dismissal hakuna kumpa hata dakika moja kumsikiliza maana ukimpokea baada ya usaliti anajua hakuna lingine atakalofanya usimsamehe.

Atakuendesha sana kwakuwa ameshajua huna uwezo wa kumuacha licha ya kukusaliti.

Hivi mtu hujazliwa naye tumbo moja unahofia nini kumtema ukatafuta mali nyingine kali kuliko yeye?
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom