Hii hali inaniumiza sana

Hii hali inaniumiza sana

Unamshauri kama wewe ndo umemgongea.Sikia babu mambo ni mawili tu hapo kumwacha aende,Au tafuta sababu ya kumuumiza na yeye hiyo ndo itakuwa dawA ya wewe kujitibu Otherwise hutoweza kusahau hilo piga tukio kama ana dada ukiweza piga kama uwezi tafuta kitoto cha afu mbili kipangie au Oa kabisa na huyo dem sijui mke akikisha amejua,Hivi ndivyo inavyotakiwa kuWa Mura.
Inch 9 Inch 9 😂😂😂
Mwanamke ataachwa kwa uzizi... Lakini kuliko uteseke roho we mtoe Kwenye malengo yako, ishi nae kama dada wa kazi. Kidogo kidogo atachomoka mwenyewe...
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Utapata ufumbuzi pale utakapojua kutofautisha Kati ya neno MPAKA na Mbaka
 
Simple sana mfungishe mizigo hadi Kwa huyo jamaa wakaendeleze walichokianzisha don't be too soft.

Songa mbele na maisha yako wanawake uwa wanabip kuona action. Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo you have devil inside your house will swallow you soon
 
Mapenz bwana anapiga chini alafu anapata demu ambae ni EX wa mtu fulani ambae alimtoa bikra.
The same bichwa linawaza kuwa alilala na mtu mwingine ndo hilo hilo bichwa linaweza waza ina maana huyu mpya alitolewa bikra na li mtu mwingine mapenzi ni magumu kuliko Hesabu Calculus
Bora hiyo kiongoz unakuwa hujui ila ya mkuu anajua na mlengwa kamwambia kwamba ilitokea hiyo ndio inaleta ukakasi
 
Miezi miwili hujagonga ila umegongewa!
Na umesamehe wakati roho inakuuma. Hujiheshimu hisia zako?
Huyo mwanamke amekushika pabaya.
 
Nilisikia msemo mmoja ukisema hivi “Mwanamke husamehe ila hasahau, mwanaume husahau ila hasamei”

Kama umeamua kusamehe basi hunabudi kusahau hapo utakuwa umetumia njia zote mbili kwa wakati mmoja.

Kitu ambacho anapaswa kufanya huyo mwanamke ni kukufanya usahau kilichotokea lakini hii inaanza na wewe kwa kupuuzia na kuruhusu mabadiliko ndani yako kwa maana uliamua kumsamehe.

Muhimu: Kataa Uzinzi.
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Piga na chini hiyo Ng'ombe. Au una uhakika hamtakosana tena? Coz kama mlikosana akaenda kuliwa na mwengine, nini kitamzuia kwenda tena kuliwa pindi mlikosana tena?
 
Mkuu mi nahtaji amani moyo wangu unamaumivu pale tu nikikumbuka nilicho fanyiwa na nimtu niliekuwa namuamini sana ila leo nahtaji kumueleza kipi ninapitia ndani ya moyo wangu kiukweli
KAma unamuamini na kajutia kosa lake ..,msamehe... kwa ulimwengu wa leo hilo wala si ajabu!.. .. hiyo ndio silaha yako siku za mbele mkuu..
 
Habar wana jf,

Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.

Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.

Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.

To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.

Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.

Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.

Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.

Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.

Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.

Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.

Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .

Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Pole sana mkuu najua kinachouma ni pale ukifikiria kua alikunjwa au alipigwa mbwa style kwa force ya kombora la kizayuni,kama unampenda samehe songa mbele kama huwezi kusamehe piga chini upate amani yako ya roho

USHAURI: KWA AMBAO HAMJAOA MSIOE NDOA NI UTAPELI
 
Back
Top Bottom