Hapo bado Rwanda hawajazima swichi ya RusumoUmeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao tukanunue mishumaa, mficha malazi kifo umumbua
Mliambiwa mlinde Kura mkanifanya wajuaji. Sasa ngoja ccm iendelee kuwatafuna na hakuna hata mtu wa kupaza sauti na kuwasemea. Mlidhani lisu kaleta Vita.Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao tukanunue mishumaa, mficha malazi kifo umumbua