Hii Hali ya Umeme kutouwepo siku nzima maeneo mbalimbali ya nchi, tatizo nini

Huku Kigoma tunakula raha mpaka basi. Huo mgao uko kwenu sisi umeme haukati mpaka unakera jamani. Mara nyingine natamani ukatike nipate sababu ya kwenda kbanda umiza kucheki games
 
Hapo bado Rwanda hawajazima swichi ya Rusumo
 
Mliambiwa mlinde Kura mkanifanya wajuaji. Sasa ngoja ccm iendelee kuwatafuna na hakuna hata mtu wa kupaza sauti na kuwasemea. Mlidhani lisu kaleta Vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…