Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

kiumbe ambaye hapendezi akinuka ni mtoto wa kike tu,wanaume tuna mambo mengi sana kunuka ni kawaida.

tatizo linaanza hapa wewe mwanaume mwenzetu unapokwazika na harufu hizo.
hatuwezi kunukia masaa yote.

Acha kuwa na akil finyu nan atakubal kudate na mwanaume anayenuka
Wewe nuka uone kama ukimbiw
 
Dawa nyingi za meno ni fake..hapa wakulaumiwa ni tbs yetu..

Kuhusu mwili kunuka ni uchumi labda wengi wanashindwa kumudu kununua perfume..

na pengine kutokujali tu.. Kuna watu wao wapowapo tu ni wachafu by nature..

Wangap hawatumi perfume wala spray and they smell good
 
Reactions: THT

[emoji106]
 
Nguo ziwe safi,zinyooshwe,upige mswaki vizuri ,uoge kisha, paka deodorant ,vaa boksa safi,nguo safi ,soks safi
Pulizia ka perfume kako kiasi
Wanaume wasafi mbarikiwe mtu anakuhug hutaki akuachie

Kama mim tu Karibu Kigamboni dina
 
Hakuna kitu kama hicho watu waache uchafu aisee....! Mtu unakuta akicheka meno yamejaa ukungu, ulimi una utandu mweupee, makucha marefu yamejaa uchafu, mtu kama huyo unamteteaje? Tuache uchafu asee

Tatizo wengi ni wachafu na hawatak kukubaliana na hali
 
Reactions: THT
Kunuka mdomo na kutoa harufu Kali ya jasho ni ugonjwa kama magonjwa mengine.ila wakati mwingine kutozingatia usafi wa kinywa na kuoga walau mbili kwa siku husababisha hali hiyo pia.

ok
 
Vile vimavi vya ulimwengu wa roho vipi? Kila ukiingia mahali penye watu wengi harufu ya yai lililooza inasikika. Au unafuatwa mara kwa mara na wale mainzi makubwa ya chooni. Unajitahidi sana katika usafi ila yote hayo unayo.

Umeandka nini sasa hiki bro dah
 
Acha kuwa na akil finyu nan atakubal kudate na mwanaume anayenuka
Wewe nuka uone kama ukimbiw

akili finyu ni kushangaa mwanaume kunuka.mwanaume na muda wa kunukia unautoa wapi!!au ndio nyinyi mnagombania vioo na mademu zenu!!
 

Even tho that’s not strong point
 
Watu hawali matunda ya kutosha ili kusaidia mchakato wa ndani ya mwili,wanakunywa maji kidogo. Pia muhimu mtu kutumia deodorant kwapani badala yake watu wanatumia body spray kwapani

Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…