Nilipoenda Chato last week nilipanda!Kapicha, tupiamo ndege ikiwa imetua hapo kiwanjani.
Picha mkuuNilipoenda Chato last week nilipanda!
Yangu au ya Ndege?Picha mkuu
vyote kwa pamojaYangu au ya Ndege?
Ndio maana nadai kapicha.Mbona nimecheki kwenye Route za Air Tanzania sijaona hiyo route ya Chato kwa upande wa local flight ?
Route zilizopo ni pamoja na;
Arusha, DSm, Bukoba, Dodoma, Geita, Kigoma, Kilimanjaro, Mbeya, Mpanda, Mwanza, Songea, Tabora na Zanzibar
Mkuu kuwa mkweli tu, umepanda ungo?Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa.
View attachment 2702058
Sasa Fatilia mwenyewe kupitia Flight radar Air Tanzania (Bombardier Q8-400) yenye usajili wa 5H-TCD ikipasua anga kutokea Dar es Salaam kuelekea Chato-Geita.
View attachment 2702062
View attachment 2702064
Hahaa jana nimeleta habari hapa JF kuwa ndege ya Rais 5H-ONE imeonekana kwenye Rada huko Dubai na baadae kuelekea saudia Arabia then ikaenda kutua Oman! vipi mlidai picha ikiwa Oman au Dubai?Ndio maana nadai kapicha.
Hakuna wa kukaweka hapa mtandaoini?
Mbona nimecheki kwenye Route za Air Tanzania sijaona hiyo route ya Chato kwa upande wa local flight ?
Route zilizopo ni pamoja na;
Arusha, DSm, Bukoba, Dodoma, Geita, Kigoma, Kilimanjaro, Mbeya, Mpanda, Mwanza, Songea, Tabora na Zanzibar
Aaah ndege inaenda kwa wiki mara 2 sijui mara 1 kwaiyo siyo issue, na hapo unapoona ikitua then inapakia inaenda mwenza. Haifanyi direct to Geita then irudi Dar.Siasa hizi Duuu ...mnaacha kupeleka ndege sehemu zenye uhitaji mnaendekeza siasa ....shame shame on u
Nimeona kuna mdau ameandika Chato Airport ni sawa na Geita Airport, nimeshindwa kumbishia maana sijawahi kupanda flight kushukia Geita wala hapo Chato hivyo siwezi kujua utofauti uliopo.Ndio maana nadai kapicha.
Hakuna wa kukaweka hapa mtandaoini?