Hii hapa Air Tanzania ikipasua anga kuelekea Chato

Siasa hizi Duuu ...mnaacha kupeleka ndege sehemu zenye uhitaji mnaendekeza siasa ....shame shame on u
Aaah ndege inaenda kwa wiki mara 2 sijui mara 1 kwaiyo siyo issue, na hapo unapoona ikitua then inapakia inaenda mwenza. Haifanyi direct to Geita then irudi

Ni kweli
 
Aaah ndege inaenda kwa wiki mara 2 sijui mara 1 kwaiyo siyo issue, na hapo unapoona ikitua then inapakia inaenda mwenza. Haifanyi direct to Geita then irudi

View attachment 2702087
Ni kweli
Thanks kushare uzoefu

Nitapita huko Mwezi wa Kumi Mungu akinipa Uzima, ikishindikana Mwezi December mwaka huu
 
Sasa Fatilia mwenyewe kupitia Flight radar Air Tanzania (Bombardier Q8-400) yenye usajili wa 5H-TCD ikipasua anga kutokea Dar es Salaam kuelekea Chato-Geita.
Na hili la Rais Suluhu kwenda kimya kimya Dubai lina ukweli?
 
Hivi DP Weldi hawajkiona kiwanja cha Ndege Chato, mwarabu ababatizwe nacho?
 
Tuliza boli, mama Sa100 mwenyewe ataleta selfie!
Labda kama ingetangazwa mapema! lakini kwa jinsi hali ilivyo hawezi kutangaza! Na ndege yake ilianda Oman just Imagine na huku ametembelea mjomba wake.
 
Na hili la Rais Suluhu kwenda kimya kimya Dubai lina ukweli?
Hatuna ushahidi japokuwa ndege jana ilielekea Oman pia sasa hatujui ameenda kusalimia ndugu zake au lah. tunahisi tu ila uhakika utatolewa na Kurugenzi ya Rais Ikulu.
 
Hatuna ushahidi japokuwa ndege jana ilielekea Oman pia sasa hatujui ameenda kusalimia ndugu zake au lah. tunahisi tu ila uhakika utatolewa na Kurugenzi ya Rais Ikulu.
View attachment 2702116
Naona hapo kwenye AirNav inaonyesha kabisa ndege ya Rais ilikuwa landed.
Hiyo iliyoenda chato inawezekana nayo tuangalie kama ilikuwa landed?
 
Hata Lissu ataenda Chato kwa Air Tanzania kumuombea Magufuli
 
🤣🤣🤣🤣Watu wanahaha kulinda legacy!!
 
Aaah ndege inaenda kwa wiki mara 2 sijui mara 1 kwaiyo siyo issue, na hapo unapoona ikitua then inapakia inaenda mwenza. Haifanyi direct to Geita then irudi
Hakuna sehemu katika hizo flight radar au AirNav ikatuonyesha idadi ya flight zinazotua kwenye uwanja husika?
Hii ya kusema sijui mara 2 or 1 inakuwa HAINA UHAKIKA.
 
Ni Geita na sio CHATO ukifanya Booking andika Geita Airport na so CHATO Route ipo na nadhani ni mara 2 kwa wiki
Mbona nimecheki kwenye Route za Air Tanzania sijaona hiyo route ya Chato kwa upande wa local flight ?

Route zilizopo ni pamoja na;
Arusha, DSm, Bukoba, Dodoma, Geita, Kigoma, Kilimanjaro, Mbeya, Mpanda, Mwanza, Songea, Tabora na Zanzibar
 
Hakuna sehemu katika hizo flight radar au AirNav ikatuonyesha idadi ya flight zinazotua kwenye uwanja husika?
Hii ya kusema sijui mara 2 or 1 inakuwa HAINA UHAKIKA.
Air Tanzania pekeake ndiye anaenda Chato-Geita tangia kipindi cha JPM mpaka sasahivi! sehemu yakutaka kujua marangapi inaenda kwa week ni kwenye website ya ATCL tu! naweza kukuthibitishia kama haifanyi direct toka Dar to Geita kisha kurejea kwa kukuletea ata safari ya leo ya hiyo ndege cos ishatua Mwanza now toka Geita na imeshasajili safari ya kurudi Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…