aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Kwakweli mama anaupiga mwingi sana kuelelekea golini kwake.
Kama hauna kazi, na unashinda kijiweni.
Na hauna mtaji wa maelfu ya pesa.
Chukua sahani kubwa hapo nyumbani (yanaitwa masinia ya kupakulia ubwabwa wa kula watu wengi),
au deli au chochote, chukua na kisu.
Chukua na maji kwenye kidumu cha lita tano.
Nenda sokoni nunua tikiti moja kubwa, au nanasi au chochote.
Rudi mpaka kijiweni, osha tikiti lako, katakata vipande vya mia mbili, weka kwenye sahani lako na uweke hapo kijiweni.
Anza kuzisubiri mia mbili zako.
Tikiti litaisha, na faida haukosi 3,000.
Kazi kwako, ukae kijiweni tu unapiga soga au ukae kijiweni ukichukua mia mbili miambili.