Hii hapa biashara ya mtaji wa 5000 itakayokupa 150000 kwa mwezi

Sawa Mkurugenzi, tutafanyia kazi.
 
Kweli Bora afe Tu!
 
Haha mkuu, umenikumbusha mbali sana nikiwa darasa la tatu mama yangu alikuwa akienda kuuza ndizi magodown zinadoda kila siku zinabaki
Sijui akili ilitoka wapi jioni baada ya kurudi shule nikawa nachukua ndizi na matunda yaliyododa naenda kwa mamantilie mmoja anaepika chakula cha usiku pale mtaani kwakweli mpaka mama alininunulia kiti na meza vya kusomea maana biashara ilikua vizuri inaonyesha maana mzigo unaouzwa usiku ukawa mkubwa kuliko mchana
 
Mwehh watu wanataka ela ya maendeleo uko iyo 150k si uende kuajiriwa viwandani uko, jiajiiri tengeneza pes nyingi
 
Mwehh watu wanataka ela ya maendeleo uko iyo 150k si uende kuajiriwa viwandani uko, jiajiiri tengeneza pes nyingi
Kuna watu hawana mitaji ya kutenpenezea hizo pesa ndefu.
Mimi hapa nimetoa mwanga kidogo kwa washkaji wa vijiweni.
 
Kuna watu hawana mitaji ya kutenpenezea hizo pesa ndefu.
Mimi hapa nimetoa mwanga kidogo kwa washkaji wa vijiweni.
Mkuu wengine sio walengwa wa wazo , mkuu hawajui kutengeneza laki kwenye shilingi mia mia sio jambo dogo kabisa
 
Kwa 5000 unapata matatu, bado hoja ya mtoa mada ni Ile Ile kata kata weka kwenye sinia peleka kijiweni kwako ujiokotee mia mbili mia mbili, Kama tikiti moja litakuletea 150000 kwa mwezi je kwa hayo matatu??? Nenda kajiokotee mia mbili mia mbili

Kupanga ni kuchagua.
Atakaye panga na akachagua hii aidia atapata mafanikio chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…