Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

martyr101

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
363
Reaction score
549
Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
 
Mbona Hamas haijatajwa kwenye clip. Wacha kudanganya
 
Waislam milioni 3 wanaokutana kila mwaka hijja, Makkah inatafutwa namna wauchukue ufalme wa saudia
 
Back
Top Bottom