M martyr101 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 363 Reaction score 549 Jan 18, 2024 #1 Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge Your browser is not able to display this video.
Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge Your browser is not able to display this video.
kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,045 Reaction score 442 Jan 18, 2024 #2 Mbona Hamas haijatajwa kwenye clip. Wacha kudanganya
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 18, 2024 #3 Huyu prince atasababisha saudi arabia ibarikiwe na kuwa taifa kubwa la kiarabu lenye nguvu.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Jan 18, 2024 #4 Waislam milioni 3 wanaokutana kila mwaka hijja, Makkah inatafutwa namna wauchukue ufalme wa saudia
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Jan 18, 2024 #5 Mbona hii video ya MBS ya muda sana