Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma.

..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli.

..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.

 
Dah imebidi nisikilize hadi mwisho. Haya makombora yamepewa jina LA 'September 07' ni zaidi ya zile ICBM Miciles za akina Trump alooh! Magu ameweza kuyapangua kweli au kabwabwaja tu?
 
imenisikisha kusikia maaskofu wamenyang'wa viza na serikali ya magufuli
 
Back
Top Bottom