J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Sep 5, 2020 #1 ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,578 Sep 5, 2020 #2 Dah imebidi nisikilize hadi mwisho. Haya makombora yamepewa jina LA 'September 07' ni zaidi ya zile ICBM Miciles za akina Trump alooh! Magu ameweza kuyapangua kweli au kabwabwaja tu?
Dah imebidi nisikilize hadi mwisho. Haya makombora yamepewa jina LA 'September 07' ni zaidi ya zile ICBM Miciles za akina Trump alooh! Magu ameweza kuyapangua kweli au kabwabwaja tu?
K kinsakina JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,080 Sep 6, 2020 #3 imenisikisha kusikia maaskofu wamenyang'wa viza na serikali ya magufuli
R RockCarnegie JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 963 Reaction score 1,927 Sep 6, 2020 #4 Kwa spana hizi, CCM lazima warukwe na akili!