Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi.

Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa Uchumi wa Kila Mkoa Kwa Tanzania Bara.

Kwa Mujibu wa Takwimu hizo , imebainisha Mikoa 10 ambayo imeshikilia Uchumi mkubwa wa Tanzania yaani yenye Pato la Mkoa (Regional GDP) ya kuanzia kuanzia Shilingi Trilioni 6.7 Hadi Trilioni 32.2.

Mikoa hiyo 10 inashikilia zaidi ya asilimia 70% ya Uchumi wa Nchi huku Mikoa mingine 14 Kwa pamoja ikibakia na asilimia 30% tuu.

Kiufupi mpaka hapo inaonesha umaskini mkubwa huko Mikoani Kwa sababu haiwezekani Mikoa 12 iwe na Uchumi mkubwa kushinda Mikoa 14. Hapa Serikali Ina kazi ya kufanya.

Orodha ya Mikoa hiyo Heavy Weights na Pato la Kila Mkoa (Trilioni) ni ;

A)Kundi La Kwanza(Top 3 Regions)-Mikoa yenye pato Zaidi ya Trilioni 10.

1.DSM =32.2
2.Mwanza =13.5
3.Mbeya =10.7

B)Kundi La Pili-Pato Kuanzia Trilioni 8.0-9.9

4.Arusha=8.8
5.Tanga=8.8
6.Morogoro=8.8
7.Geita=8.6
8.Kilimanjaro=8.2

C)Kundi La Tatu-Pato kuanzia Trilioni 6.5-8.0

9.Ruvuma=7.1
10.Shinyanga=6.7
11.Mara=6.7
12.Tabora=6.7

My Take
Mikoa ya Ruvuma, Shinyanga, Mara, Geita na Tabora ni game changer kwenye Uchumi wa Nchi, kutoka kusikojulikana hadi kuwa Mikoa muhimu ni jambo la kupongezwa na kuonesha kwamba kumbe ukifungua Nchi Kwa miundombinu Uchumi unafufuka.

Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi lakini haichangii chochote Cha maana kwenye Uchumi wa Nchi.Pwani inaongoza Kwa viwanda Tanzania lakini ni kama havina Msaada wa Moja kwa kwenye Uchumi wa Mkoa labda mauzo ya Nje ya Nchi nk.

Mwisho, Serikali Ipeleke rasimali za Kutosha kwenye Mikoa ya Mwanza na Mbeya kulingana na Mchango wao kwenye Uchumi.

Haipendezi kuchukua jasho la watu wa Mikoa mingine na kwenda kujengwa Dar, Dodoma na Arusha. Mgawanyo wa Rasilimali ufanyike Kwa uwiano mzuri.
View attachment 3060612

Angalizo:
•Uchambuzi huu sio rasmi Bali ni abstract tuu,hivyo uchukuliwe Kwa lengo la kutoa picha ya Juu Juu kuhusu Hali ya Uchumi wa Mikoa.

•Uchambuzi rasmi na takwimu rasmi za matumizi ni zile zinazotolewa na mamlaka husika kama NBS,ESRF,FinScope,BoT nk.

Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Wewe si huwa unasema Mwanza kumejaa masikini kuliko Dodoma?
 
Ruvuma kuna uvunaji mkubwa sana wa Makaa ya mawe unaendelea. Huu uvunaji hauna impact ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida wa Ruvuma zaidi ya kuongeza mapato ya Mkoa na Taifa. Maisha ya wanaruvuma bado ni duni sana kusema kweli.

Kila mara nasema itungwe sheria kulazimisha sehemu ya mapato yatokanayo na rasilimali ibaki eneo husika ili kusaidia maeneo hayo kiinuka kiuchumi. Kwa sasa wanaruvuma wanashangaa tu malori maelfu kwa maelfu yanasomba mkaa kila uchao bila faida yoyote kwao
Ukisema hivyo watakwambia wewe ni chadema, mnataka serekali za majimbo, mtaigawa nchi, mtaleta ubaguzi na ukabila na sababu zingine nyingi zisizokuwa na kichamwa kama mkia.

Mfano mzuri ni hapo kenya, county 47 na zinaendesha mambo yao

County governments are responsible for county legislation (outlined in article 185 of the Constitution of Kenya), executive functions (outlined in article 183), functions outlined in the fourth schedule of the constitution of Kenya, functions transferred from the national government through article 187 of the constitution of Kenya, functions agreed upon with other counties under article 189(2) of the constitution of Kenya, and establishment and staffing of a public service (under article 235 of the Constitution of Kenya).[10] The functions of governments assigned to counties by the fourth schedule of the Constitution of Kenya are:[11]

Agriculture​

edit
  • Crop and animal husbandry
  • Livestock sale yards
  • County abattoirs (slaughterhouses)
  • Plant and animal disease control
  • Fisheries
  • Kishada

County health services​

edit
  • County health facilities and pharmacies
  • Ambulance services
  • Promotion of primary health care
  • Licensing and control of undertakings that sell food to the public
  • Veterinary services (excluding regulation of the profession)
  • Cemeteries, funeral parlors and crematoria
  • Refuse removal, refuse dumps and solid waste disposal.
  • Food distribution and Free services for pregnant mothers

Pollution, nuisances and advertising control​

edit
  • Control of air pollution, noise pollution, other public nuisances and outdoor advertising

Cultural activities, public entertainment and public amenities​

edit
  • Betting, casinos and other forms of gambling
  • Racing
  • Liquor licensing
  • Cinemas
  • Video shows and hiring
  • Libraries
  • Museums
  • Sports and cultural activities and facilities
  • County parks, beaches and recreation facilities
  • Ice skating
  • Sport fishing
  • Golf
  • Horse racing
  • Rugby
  • soccer

County transport​

edit
  • County roads
  • Street lighting
  • Traffic and parking
  • Public road transport
  • Ferries and harbors, excluding the regulation of international and national shipping and matters related thereto
  • SGR- Madaraka Express (modern railway experience).[12]

Trade development and regulation​

edit
  • Markets
  • Trade licenses, excluding regulation of professions
  • Fair trading practices
  • Local tourism
  • Cooperative societies

County planning and development​

edit
  • Statistics
  • Land surveying, planning and mapping of resources
  • Boundaries and fencing
  • Housing
  • Electricity and gas reticulation and energy regulation

Education and childcare​

edit
  • Pre-primary education, village polytechnics, homecraft center's and childcare facilities
  • Adult education and national exam registration for the same.

Policy implementation​

edit
  • Implementation of specific national government policies on natural resources and environmental conservation
  • Soil and water conservation
  • Forestry

County public works and services​

edit
  • Stormwater management systems in built-up areas
  • Water and sanitation services

Fire fighting services and disaster management​

edit
Counties are mandated by the 2010 constitution of Kenya to enact legislation and laws that ensures management and controls of fire fighting.

Coordination​

edit
  • Ensuring and coordinating the participation of communities and locations in governance at the local level
  • Assisting communities and locations to develop the administrative capacity for the effective exercise of the functions and powers and participation in governance at the local level
 
Sio lazima yaitwe majimbo,hivi hivi Mikoa zinawekwa kanuni Mpya za administration ambazo zinatoa mamlaka zaidi Mikoani badala ya centralization.
 
Mfumo uliopo sasahivi ni ili mkoa utoboe kimaendeleo, sharti Mkuu wa nchi atoke kwenye mkoa huo. Kwani si mliona wenyewe? Na si mnaona wenyewe?
 
Unamdanganya nani? Hayo maishe yenu Bora yatoke wapi ikiwa hamzalishi kulingana na idadi yenu?

Unadhani hivyo vijumba vya watu walioko Nje ya Mkoa huo ndio maisha Bora?

Tafuta kilaza mwenzio ndio mdanganye Mimi nakukatalia,the fact of the matter is idadi ya mafukara Kagera ni wengi kushinda Mikoa Mingi.
Usishupaze shingo ili uonekane una akili, kumbe hata hujui kwamba mchango wa diaspora ni muhimu katika uchumi wa eneo fulani. Kama una akili tafuta taarifa za mauzo ya kahawa mwaka huu na bei yake uone watu wanavopiga ela. Alafu wanapojenga na hiyo fursa kwa wananchi kwa sababu Materials na vibarua wanaingiza ela
 
Povu halitasaidia ,huu mdomo mnaochonga ndivyo kinawaponza ,fanyeni kazi mnaliaibisha Taifa
 
Sio lazima yaitwe majimbo,hivi hivi Mikoa zinawekwa kanuni Mpya za administration ambazo zinatoa mamlaka zaidi Mikoani badala ya centralization.
Ni vizuri pia, kuna faida kubwa kuivunja serekali kutoka eneo kubwa kiutawala kwenda eneo dogo kiutawala. Hapo kabla hawajabadili katiba yao wakenya walikuwa na mikoa nane ikifanya kazi kama huku kwetu.

Mfumo kama huu wa serekali za county Kenya unaleta madaraka mojamoja kwa moja kwa wananchi kinyume na huu wa kwetu wa top-down. Kuna thread nyingine huko inatembea ssaivi TANAPA na Ngorongoro hela zote zinakwenda serikali kuu, jamaa anaikompea Zanzibar na Serengeti ni aibu mkuu.
 
Sio lazima yaitwe majimbo,hivi hivi Mikoa zinawekwa kanuni Mpya za administration ambazo zinatoa mamlaka zaidi Mikoani badala ya centralization.
Dar es Salaam wanajifanya wanamapato kuliko mkoa wowote lakini ukweli ni kuwa rasimali zinasombwa mikoani zinaenda kujenga Dsm na sasa itakuwa hivyo hivyo kwa Dodoma

Dar & Dodoma ni sawa na wakoloni wanaoiinyonya mikoa mingine
 
Hakuna kitu kama hicho, Arusha wanajionaga wa mbele sana. Hivi unajua wanachoringia Arusha ni matajiri wachache wenye hela nyingi ambapo matajiri hawa wachache hawawezi kuwa sehemu kubwa ya maendeleo ya mkoa.
Kwa nini rasilimali na mapato ya Nchi yajenge Dar na Dodoma tu
 
Dah wanajifanya wanamapato kuliko mkoa wowote lakini ukweli ni kuwa rasimali zinasombwa mikoani zinaenda kujenga Dsm na sasa itakuwa hivyo hivyo kwa Dodoma

Dar & Dodoma ni sawa na wakoloni wanaoiinyonya mikoa mingine
Mapato ya Nchi yote yanaelekezwa kujenga miundombinu ya Dar na Dodoma,Ndio maana watz wanakimbilia wote kujilundika Dar

Hii haijakaa sawa
Mikoa yote ipewe kipaumbele sawa
 
Povu halitasaidia ,huu mdomo mnaochonga ndivyo kinawaponza ,fanyeni kazi mnaliaibisha Taifa
Usikurupuke siku nyingine basi jambo ambalo hujui bora ujipe muda wa kujifunza
Excuses hazitawatoa kwenye umaskini elewa hilo wewe lazy
Whatever utakavoniita Ila uache kukurupuka unajiaibisha otherwise elimu na uelewa wako ni mdogo mno
 
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi.

Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa Uchumi wa Kila Mkoa Kwa Tanzania Bara.

Kwa Mujibu wa Takwimu hizo , imebainisha Mikoa 10 ambayo imeshikilia Uchumi mkubwa wa Tanzania yaani yenye Pato la Mkoa (Regional GDP) ya kuanzia kuanzia Shilingi Trilioni 6.7 Hadi Trilioni 32.2.

Mikoa hiyo 10 inashikilia zaidi ya asilimia 70% ya Uchumi wa Nchi huku Mikoa mingine 14 Kwa pamoja ikibakia na asilimia 30% tuu.

Kiufupi mpaka hapo inaonesha umaskini mkubwa huko Mikoani Kwa sababu haiwezekani Mikoa 12 iwe na Uchumi mkubwa kushinda Mikoa 14. Hapa Serikali Ina kazi ya kufanya.

Orodha ya Mikoa hiyo Heavy Weights na Pato la Kila Mkoa (Trilioni) ni ;

A)Kundi La Kwanza(Top 3 Regions)-Mikoa yenye pato Zaidi ya Trilioni 10.

1.DSM =32.2
2.Mwanza =13.5
3.Mbeya =10.7

B)Kundi La Pili-Pato Kuanzia Trilioni 8.0-9.9

4.Arusha=8.8
5.Tanga=8.8
6.Morogoro=8.8
7.Geita=8.6
8.Kilimanjaro=8.2

C)Kundi La Tatu-Pato kuanzia Trilioni 6.5-8.0

9.Ruvuma=7.1
10.Shinyanga=6.7
11.Mara=6.7
12.Tabora=6.7

My Take
Mikoa ya Ruvuma, Shinyanga, Mara, Geita na Tabora ni game changer kwenye Uchumi wa Nchi, kutoka kusikojulikana hadi kuwa Mikoa muhimu ni jambo la kupongezwa na kuonesha kwamba kumbe ukifungua Nchi Kwa miundombinu Uchumi unafufuka.

Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi lakini haichangii chochote Cha maana kwenye Uchumi wa Nchi.Pwani inaongoza Kwa viwanda Tanzania lakini ni kama havina Msaada wa Moja kwa kwenye Uchumi wa Mkoa labda mauzo ya Nje ya Nchi nk.

Mwisho, Serikali Ipeleke rasimali za Kutosha kwenye Mikoa ya Mwanza na Mbeya kulingana na Mchango wao kwenye Uchumi.

Haipendezi kuchukua jasho la watu wa Mikoa mingine na kwenda kujengwa Dar, Dodoma na Arusha. Mgawanyo wa Rasilimali ufanyike Kwa uwiano mzuri.
View attachment 3060612

Angalizo:
•Uchambuzi huu sio rasmi Bali ni abstract tuu,hivyo uchukuliwe Kwa lengo la kutoa picha ya Juu Juu kuhusu Hali ya Uchumi wa Mikoa.

•Uchambuzi rasmi na takwimu rasmi za matumizi ni zile zinazotolewa na mamlaka husika kama NBS,ESRF,FinScope,BoT nk.

Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Bukoba iko wapi jamaniii.
INSTANBULL njoooo hukuuu
 
Usikurupuke siku nyingine basi jambo ambalo hujui bora ujipe muda wa kujifunza

Whatever utakavoniita Ila uache kukurupuka unajiaibisha otherwise elimu na uelewa wako ni mdogo mno
Peleka mapovu Yako NBS ,Mimi siwezi kukusaidia zaidi ya kukucheka 😁😁
 
Mkuu ChoiceVariable tuletee takwimu ya matrilioni yanayoletwa kwenye kila mkoa na serekali kwaajili ya maendeleo tufanye uchambuzi hapa tusijekuwa tunaionea serekali
 
Back
Top Bottom